Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

Nimepitia komenti za wadau hapa,nimekuja kujua kumbe
Jamaa na familia yake (Malechela) wamemtoa dem huku bongo na kumpeleka US,wakamtafutia kazi na hata hii michakato ya uraia kwake ilikuwa rahisi sababu ya jina la Malechela.

Still bado akazinguana na baba watoto, kipindi ambacho mwenzake anaungaunga na kutaka hata kule kidogo alichokuwa nacho wagawane (unaweza ukakuta anachokipata yy ni kikubwa kuliko cha mwenzio).

Sawa mnamlaumu jamaa kwa maisha yake ya starehe huku bongo, ila hamjui may be jamaa alikuwa anapitia maumivu ya kihisia ya tokanayo na familia yake. Hiyo haitoshi ugomvi wa familia unamshirikisha tahira wa taifa Mange Kimambi ,anaweka wazi mambo ya familia public,akizani anamkomoa mmewe kumbe kuna siku zile meseji zitawaumiza wao na hasa watoto.

Jamaa kweli si malaika ana mabaya yake ila mwanamke aliyezaa nae inawezekana ikawa sababu ya maisha aliyo yaishi sasa. Kwa mbele hasa US wanawaume wanapitia maumivu mengi ya kihisia sababu ya kunyanyaswa na wanawake (mara zote wanaume hawaongei), hasa inapofikia kipindi cha talaka maana hapa kuna kugawana mbali na hasa zaidi mkewe kutumia watoto kama fimbo ya kumchapia mmewe.

Basi atleast angekumbuka hata machache mazuri aliyo mfanyia kwa kumsitiri na si kumzalilisha kwa yule taira wa taifa na hata kwa watoto wake. Ubaya aliomba msamaha, kuna watu wanadai aliomba msamaha kirahisi rahisi, ( kwa wale wakristo wanao amini kama uamini unaweza kuipita hii comment sitaki ligi) wale wezi walio teswa na Yesu,hata toba yao pale msalabani ilikuwa very simple, ila mwisho wa siku Mungu akaikubali wakaupata uzima wa milele.

Sasa ww unaombwa msamaha na baba yako unakataa sasa ndio tayari hayupo sijui wanajisikiaje,japo watafanya kama hawajali mbele ya macho za watu ila mioyoni mwao itawatafuna.
 
Ngoja niseme neno kidogo inawezekana kabisa mama Yao aliwalisha watoto Sumu Mimi nafikiri ni busara za watoto kutambua kuwa huyu ni Baba ata iwaje mzazi atabaki kuwa mzazi Tu watoto walizingua kumtukana Baba Yao asa huyu wa Kiume alichokifanya ni dhambi nafikiri ata yeye atajutia Sana baadaye alafu kitu kizuri Lemutuz alikuwa anasema ukweli kabisa na anajibu kila Mange alipokuwa anaibua tuhuma dhidi yake
R.I.P Lemutuz [emoji22]
 
Acha kutetea ujinga.usipolea wewe sio mzazi
 
Dah kumbe tupo wengi,hawa akina mama ambao wako na watoto wetu always ni wagomvi na washari. Yaan unajiuliza, tatzo hasa ni nini? Huyu wa kwangu hata nikituma pesa ya mahitaji ya mtoto,hatoi mrejesho wowote.. muda wote ni mkali,
Wanawake wanaongea kwa hisia kuliko akili ..ukishindwa kutumia akili yako vizuri kuwaelewa utaishi nao kwa tabu sana ukiona mwanamke uliyemzalisha anakuwa mkali kwako ujue ana nyege na anahitaji ukaribu wako zaidi kuliko mtu mwingine.. nimekupa code pambana nayo..
 
Nakuunga mkono na mguu pia, watoto kumdharau baba yao ni laana. Hata baba Mungu hatowasamehe na wao, kina Kanumba waliowaumbua baba zao mitandaoni wapo wapi!! Biblia inasema waheshimu BABA na mama yako upate miaka mingi na yenye heri duniani.
Mbona domo anakula bata
 
Le Mutuz alimkosea sana Binti yake na zile chati zilionesha hivyo lkn yule dogo wa kiume ataishi maisha yake yote akikumbuka kwamba alifanya upuuzi kumjibu dingi yake vile ilikuwa ni nonsense kabisa.
 
Chief haya mambo ya laana yapo huku kwetu africa kwa wenzetu hawana hyo mambo na hyo mtoto kakulia kwenye mazingira yao, mfano eminem alikuwa anawatukana baba na mama yake matusi mazito.
 
Le Mutuz alimkosea sana Binti yake na zile chati zilionesha hivyo lkn yule dogo wa kiume ataishi maisha yake yote akikumbuka kwamba alifanya upuuzi kumjibu dingi yake vile ilikuwa ni nonsense kabisa.
Dogo alimjibu vibaya sana na ile sio sumu bali ni kukosa adabu.. Hata mtu aliyekuzidi umri huwezi mtolea zile maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…