Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

😁😁😁 kama unaamini mtu mwenye miaka zaidi ya 25 anaweza kushikiwa akili kiasi hicho, bhasi mkuu naona umeamua kusimama na lemutuz kwa lolote ila ukweli utabaki palepale, uwezo wa kufix mahusiano na binti yake ulikuwa kwa asilimia zote kutokana na yule binti alivyojielezea
Tatizo ni mama sasa, ww unaenda kutoa siri za familia yako kwa taira Mange, huoni kama ni kichaa ,halafu huyo ndio utegemea amuelekeze mwanao. Sema jamaa naye aliyavagaa kuzaa na huyo mwanamke.

Sijaamua kusimama na Lemutuz ww kama umeamua kusimaa na huyo mkewe kichaa basi sawa.Ila mimi nimeangangalia mazingira ya tokea walivyo anza mahusiano yao, yaani kakutoa huku kwenye msoto,kakusafirisha,kakupatia kazi plus na uraia ,still bado unamwona wa maana bado akataka talaka,mixer kugawana mali wakati mwenzie anaungaunga.

Jamaa kuja bongo mimi na mwelewa maana sheria za kule zingembana na sizani angetoboa hii miaka aliyokuwa nayo sasa. Kwani US talaka na wenza wao kuwatumia watoto kama fimbo,kunawapa sana stress wanaume.
 
Nimesoma huu uzi nikarelate na juzi nilichokiona. Nilikua katika pita pita insta, nikaona video clip ya patternity cases mahakamani. Nilivyoenda youtube niliona crazy scenarioz zinazorelate na hii mada. Ila scenario mbaya kuliko, ilikua ni case ya mwanaume kampeleka mke wake mahakamani akihisi kabisa mtoto si wa kwake.

Kesi ikaanza kusikilizwa. Yule mwanaume akawa anashuhudia namna ambavyo mke wake si mwaminifu katika ndoa yao. Tena akawa amemuomba mchepuko wa yule mwanamke aje aseme na kweli alikuwepo nae akatestify namna ambavyo wamekua na mahusiano na yule mwanamke for 11 years tena akiwa ndani ya ndoa, tena he was so proud. Yule mwanamke confidently akawa anapangua hoja ila hakuwa anakataa kwamba alikua anachepuka, ila ndo akawa kama anakwepa kuassure court kwamba mtoto ni wa mume wake.

Mama mzazi wa mume yuko nyuma ya court analia vibaya mno akiona kabisa hapa mjukuu atamkosa. Basi judge akaanza kusoma result. Kiru!! Mtoto si wa mume wala si wa mchepuko. (Ila wanawake sisi jamani!!) Mume akaburst out..chozi kama lote, yule marioo (mchepuko) kabaki anashangaa. Yule mwanamke nae aso na haya jamani, akasema naomba niseme ukweli. Huyu mtoto baba ake alifariki nae alikua mchepuko wangu wa muda mrefu. Like seriously!!

What am saying is..sisi ni viumbe hatari mno. For decades the "system" imekua ikiwaname wanaume kama watu wabaya sana lakini guess what..its all made by the system ili dunia iamini hiki. We are more dangerous kuliko danger yenyewe. Kwenye zile cases nilivyokuwa nazishuhudia almost 90% wanaume wamebambikiwa watoto. Ikanifanya nigundue kwamba huko kuna mahakama za kuhoji uhalali wa mtu kuwa baba wa mtoto and stuff like that lakini huku hakuna. And so very likely huku katika many families, wanaume wengi wanalea damu zisizo za kwao.

Katika pita pita yangu mtandaoni, niliona post ya tamthilia ya juakali. Mdada amedate na mtu afu ex wa mdada karudi so mdada yuko katika confusion. Nikaend katika comments ndipo nilipogundua there is a very big problem. Kuna catastrophe ya mambo ya ma-ex inayoikumba jamii. Katika ile post mabinti wengi walikua wanasema its very easy for them kurudiana na ex zao. Huwa wanakua confuzed na ex zao. Imagine unaenda kuoa such a woman ambae bado anampenda ex wake..what do you expect. Lets repent people...Jesus is coming soon!
 
Hiyo paragraph ya mwisho siku hizi zipo sana na siku hizi ishakuwa kawaida,ndio maana kuna msemo "hawala hana talaka".
 
Na Sisi wanaume ifike mahala tujitambue. Unawaaga watoto kua unaenda hapo nje halafu ndio kimoja miaka therasini na ushee kweli kisha Leo useme unaomba msamahaa, na kila siku wanakuona kwenye mitandao upo na maisha mazuri na wanawake warembo.

Sawa tuamini uligombana na mama na hatujui mligombana nini lakini watoto nao ???????? Hapana aisee hapana kabisa.
Wewe unajuwa alipokutana na mke wake? Nani alimpeleka huyo mke wake marekani?
 
Unajua kama wanawake wengine unapowakaribisha ndani kwako kama wewe mwanaume jiandae na mastress, misongo ya mawazo, depression ata kufa kabisa bora tuu uende.

Mange Kimambi kila siku mtandaoni kutukana tuu hafanyi kazi yoyote child support tu ndo inampa jeuri.

Msikilize huyo mama hapo chini kasema kitu kizito.View attachment 2621919
Madini
 
Ila kweli kwa age yake ile I don’t real think aliweza wapanda wote….naweza kuamini unachokisema! Inaezekana alikua anamake doo kupitia those bebez
Kwani ni lazima awapande wote kwa wakati mmoja?
Hata sioni umuhimu wa hoja yako hiyo.
 
Tatizo ni mama sasa, ww unaenda kutoa siri za familia yako kwa taira Mange, huoni kama ni kichaa ,halafu huyo ndio utegemea amuelekeze mwanao. Sema jamaa naye aliyavagaa kuzaa na huyo mwanamke.

Sijaamua kusimama na Lemutuz ww kama umeamua kusimaa na huyo mkewe kichaa basi sawa.Ila mimi nimeangangalia mazingira ya tokea walivyo anza mahusiano yao, yaani kakutoa huku kwenye msoto,kakusafirisha,kakupatia kazi plus na uraia ,still bado unamwona wa maana bado akataka talaka,mixer kugawana mali wakati mwenzie anaungaunga.

Jamaa kuja bongo mimi na mwelewa maana sheria za kule zingembana na sizani angetoboa hii miaka aliyokuwa nayo sasa. Kwani US talaka na wenza wao kuwatumia watoto kama fimbo,kunawapa sana stress wanaume.
Hapo ndo tumetofautiana brother, mimi sijagusa mahusiano ya lemutuz na ex wife wake ila niliangalia tu zile texts kati ya yule binti na faza wake. Kwa mtu mwenye akili timamu yule binti alionesha kutaka kumaliza zile tofauti ila lemutuz akaweka pride..

IIla haina haja ya ubishani, tuwaachie wenyewe
 
You have a lack of mental health so I am not surprised more than to forgive you. Go pee and sleep in your brother-in-law's living room
A lack of mental health is good for me.

You lack reasoning. Punk ass.
 
Back
Top Bottom