Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kitu gani?Hakuna kitu kama hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu gani?Hakuna kitu kama hicho
Ni kama hakujali maumivu ya binti yake na akagongelea msumali kuwa alishinikizwa yaani kama anamfanyia favour mumtafuta. Imagine baba yako akuambie hivii baada ya kupotezana muda mrefu huku ukiingia insta yupo viwanja 24/7. Watu hawaelewi, dogo wa kiume alizingua ila wa kike hakutendewa hakiYaan ile text lemutuz utafikiri alikuwa anamuandikia Rafiki yake
Halaf eti watoto wapate laana. Baba akosee halaf watoto wapate laanaNi kama hakujali maumivu ya binti yake na akagongelea msumali kuwa alishinikizwa yaani kama anamfanyia favour mumtafuta. Imagine baba yako akuambie hivii baada ya kupotezana muda mrefu huku ukiingia insta yupo viwanja 24/7. Watu hawaelewi, dogo wa kiume alizingua ila wa kike hakutendewa haki
Mmh hizi txt zilo wapi???Yaan ile text lemutuz utafikiri alikuwa anamuandikia Rafiki yake
Insta nadhan kwa MangeMmh hizi txt zilo wapi???
Nimesoma huu uzi nikarelate na juzi nilichokiona. Nilikua katika pita pita insta, nikaona video clip ya patternity cases mahakamani. Nilivyoenda youtube niliona crazy scenarioz zinazorelate na hii mada. Ila scenario mbaya kuliko, ilikua ni case ya mwanaume kampeleka mke wake mahakamani akihisi kabisa mtoto si wa kwake.
Kesi ikaanza kusikilizwa. Yule mwanaume akawa anashuhudia namna ambavyo mke wake si mwaminifu katika ndoa yao. Tena akawa amemuomba mchepuko wa yule mwanamke aje aseme na kweli alikuwepo nae akatestify namna ambavyo wamekua na mahusiano na yule mwanamke for 11 years tena akiwa ndani ya ndoa, tena he was so proud. Yule mwanamke confidently akawa anapangua hoja ila hakuwa anakataa kwamba alikua anachepuka, ila ndo akawa kama anakwepa kuassure court kwamba mtoto ni wa mume wake.
Mama mzazi wa mume yuko nyuma ya court analia vibaya mno akiona kabisa hapa mjukuu atamkosa. Basi judge akaanza kusoma result. Kiru!! Mtoto si wa mume wala si wa mchepuko. (Ila wanawake sisi jamani!!) Mume akaburst out..chozi kama lote, yule marioo (mchepuko) kabaki anashangaa. Yule mwanamke nae aso na haya jamani, akasema naomba niseme ukweli. Huyu mtoto baba ake alifariki nae alikua mchepuko wangu wa muda mrefu. Like seriously!!
What am saying is..sisi ni viumbe hatari mno. For decades the "system" imekua ikiwaname wanaume kama watu wabaya sana lakini guess what..its all made by the system ili dunia iamini hiki. We are more dangerous kuliko danger yenyewe. Kwenye zile cases nilivyokuwa nazishuhudia almost 90% wanaume wamebambikiwa watoto. Ikanifanya nigundue kwamba huko kuna mahakama za kuhoji uhalali wa mtu kuwa baba wa mtoto and stuff like that lakini huku hakuna. And so very likely huku katika many families, wanaume wengi wanalea damu zisizo za kwao.
Katika pita pita yangu mtandaoni, niliona post ya tamthilia ya juakali. Mdada amedate na mtu afu ex wa mdada karudi so mdada yuko katika confusion. Nikaend katika comments ndipo nilipogundua there is a very big problem. Kuna catastrophe ya mambo ya ma-ex inayoikumba jamii. Katika ile post mabinti wengi walikua wanasema its very easy for them kurudiana na ex zao. Huwa wanakua confuzed na ex zao. Imagine unaenda kuoa such a woman ambae bado anampenda ex wake..what do you expect. Lets repent people...Jesus is coming soon!
Aiseee poleniDah kumbe tupo wengi,hawa akina mama ambao wako na watoto wetu always ni wagomvi na washari. Yaan unajiuliza, tatzo hasa ni nini? Huyu wa kwangu hata nikituma pesa ya mahitaji ya mtoto,hatoi mrejesho wowote.. muda wote ni mkali,
Aiseee ila huyo mwanamke ni mpumbavu sana!sasa wewe dada, watoto wapo marekani, kiule marekani wanaishi na mama yao ambaye umegombana naye na anawalisha watoto sumu zile ulizoona mange analeta hapa ni chamtoto, watoto wameside na mama, na huwezi kurudi kule marekani kwasababu ulikimbia msala ukifika tu watakudaka na kukupeleka mahakamani then jela, unafikiri angewawekaje karibu sasa? mama yao angeamua kuruhusu hilo ingewezekana, lakini mama yao ndo unavyomjua, hata alipojaribu kuomba msamaha labda awe karibu na watoto mama katuma msg kwa mange. no wonder trump alisema nchi zetu ni shithole, ile shithole ni wewe nafikiri.
Mkewe ni mzungu pia au?Wazungu hao they don't care hao watoto sijui watakuja msibani
I see, wonders shall never end!nitatunza miamala mpaka lini mkuu,nimeamua itavyokuwa na iwe tu roho yangu imeanza kupata kutu.mwanzo nilikuwa namtumia kila week...ikaja tokea kuna week sikutuma na nilimpa sababu kwanini sikutumaa aisee nifuatwa ofisini nikafanyiwa fujo aisee nilishindwa vumilia nilimpa vitasa akanipeleka polisi nilazwe ndani bahati nzuri kile kituo wale polisi wananijua...anawalazimisha polisi nisweke ndani wakamwambia rudi nyumbani kesho utamkuta mtuhumiwa wako lock up oyrsterbay hahaha daaah hapo ndio akapata amani ya roho... wanawake wengine ni wametumwa kuharibu maisha ya wanaume
Baaasi ndo tatizo lilipoanzia,asingeweza kufanikiwa ku reconcile! Watu wasimlaumuMke wa lemutuz ni rafiki wa mange mnategemea watoto wawe na adabu kwa baba yao?
Afadhali,nilitaka kuandika hivi!Nimepitia komenti za wadau hapa,nimekuja kujua kumbe
Jamaa na familia yake (Malechela) wamemtoa dem huku bongo na kumpeleka US,wakamtafutia kazi na hata hii michakato ya uraia kwake ilikuwa rahisi sababu ya jina la Malechela.
Still bado akazinguana na baba watoto, kipindi ambacho mwenzake anaungaunga na kutaka hata kule kidogo alichokuwa nacho wagawane (unaweza ukakuta anachokipata yy ni kikubwa kuliko cha mwenzio).
Sawa mnamlaumu jamaa kwa maisha yake ya starehe huku bongo, ila hamjui may be jamaa alikuwa anapitia maumivu ya kihisia ya tokanayo na familia yake. Hiyo haitoshi ugomvi wa familia unamshirikisha tahira wa taifa Mange Kimambi ,anaweka wazi mambo ya familia public,akizani anamkomoa mmewe kumbe kuna siku zile meseji zitawaumiza wao na hasa watoto.
Jamaa kweli si malaika ana mabaya yake ila mwanamke aliyezaa nae inawezekana ikawa sababu ya maisha aliyo yaishi sasa. Kwa mbele hasa US wanawaume wanapitia maumivu mengi ya kihisia sababu ya kunyanyaswa na wanawake (mara zote wanaume hawaongei), hasa inapofikia kipindi cha talaka maana hapa kuna kugawana mbali na hasa zaidi mkewe kutumia watoto kama fimbo ya kumchapia mmewe.
Basi atleast angekumbuka hata machache mazuri aliyo mfanyia kwa kumsitiri na si kumzalilisha kwa yule taira wa taifa na hata kwa watoto wake. Ubaya aliomba msamaha, kuna watu wanadai aliomba msamaha kirahisi rahisi, ( kwa wale wakristo wanao amini kama uamini unaweza kuipita hii comment sitaki ligi) wale wezi walio teswa na Yesu,hata toba yao pale msalabani ilikuwa very simple, ila mwisho wa siku Mungu akaikubali wakaupata uzima wa milele.
Sasa ww unaombwa msamaha na baba yako unakataa sasa ndio tayari hayupo sijui wanajisikiaje,japo watafanya kama hawajali mbele ya macho za watu ila mioyoni mwao itawatafuna.
Uko sahihi kabisa,watu hawaangalii deep insideNimepitia komenti za wadau hapa,nimekuja kujua kumbe
Jamaa na familia yake (Malechela) wamemtoa dem huku bongo na kumpeleka US,wakamtafutia kazi na hata hii michakato ya uraia kwake ilikuwa rahisi sababu ya jina la Malechela.
Still bado akazinguana na baba watoto, kipindi ambacho mwenzake anaungaunga na kutaka hata kule kidogo alichokuwa nacho wagawane (unaweza ukakuta anachokipata yy ni kikubwa kuliko cha mwenzio).
Sawa mnamlaumu jamaa kwa maisha yake ya starehe huku bongo, ila hamjui may be jamaa alikuwa anapitia maumivu ya kihisia ya tokanayo na familia yake. Hiyo haitoshi ugomvi wa familia unamshirikisha tahira wa taifa Mange Kimambi ,anaweka wazi mambo ya familia public,akizani anamkomoa mmewe kumbe kuna siku zile meseji zitawaumiza wao na hasa watoto.
Jamaa kweli si malaika ana mabaya yake ila mwanamke aliyezaa nae inawezekana ikawa sababu ya maisha aliyo yaishi sasa. Kwa mbele hasa US wanawaume wanapitia maumivu mengi ya kihisia sababu ya kunyanyaswa na wanawake (mara zote wanaume hawaongei), hasa inapofikia kipindi cha talaka maana hapa kuna kugawana mbali na hasa zaidi mkewe kutumia watoto kama fimbo ya kumchapia mmewe.
Basi atleast angekumbuka hata machache mazuri aliyo mfanyia kwa kumsitiri na si kumzalilisha kwa yule taira wa taifa na hata kwa watoto wake. Ubaya aliomba msamaha, kuna watu wanadai aliomba msamaha kirahisi rahisi, ( kwa wale wakristo wanao amini kama uamini unaweza kuipita hii comment sitaki ligi) wale wezi walio teswa na Yesu,hata toba yao pale msalabani ilikuwa very simple, ila mwisho wa siku Mungu akaikubali wakaupata uzima wa milele.
Sasa ww unaombwa msamaha na baba yako unakataa sasa ndio tayari hayupo sijui wanajisikiaje,japo watafanya kama hawajali mbele ya macho za watu ila mioyoni mwao itawatafuna.
FactUjinga kwa jicho lako la kipuuzi na la kitoto,ila ukirudi kiroho plus hekima jamaa hakudeserver aliyofanyiwa na mkewe.
Nafikiri kuna kitu wengi wetu hatukizangatii; ila huko mbeleni kinatucost sana. Pamoja na yote ni muhimu kuobserve emotional stability +emotional intelligence ya mwenzi wako. Hakuna mtu aliye emotionally stable atakayefanya jitihada za kuumiza wengine kwa sababu tu yeye ameumia.nitatunza miamala mpaka lini mkuu,nimeamua itavyokuwa na iwe tu roho yangu imeanza kupata kutu.mwanzo nilikuwa namtumia kila week...ikaja tokea kuna week sikutuma na nilimpa sababu kwanini sikutumaa aisee nifuatwa ofisini nikafanyiwa fujo aisee nilishindwa vumilia nilimpa vitasa akanipeleka polisi nilazwe ndani bahati nzuri kile kituo wale polisi wananijua...anawalazimisha polisi nisweke ndani wakamwambia rudi nyumbani kesho utamkuta mtuhumiwa wako lock up oyrsterbay hahaha daaah hapo ndio akapata amani ya roho... wanawake wengine ni wametumwa kuharibu maisha ya wanaume
Sahihi kabisa ila mi siwezi Jamani pesa zikitumwa nasema
Mfano hapa juzi schools kalipa ada I told her that your dad paid the school fees so please don't let him download
Binamu sinaga hizo na Niko very open Kwa kweli Wala sifichi kitu akili kichwani mwake asuke au anyoe
Si wamarekani wasela tu.siyo kama sisi huku kishulumundu tunaheshimu wazazi sanaWalikosea sana walipaswa kumuheshimu Baba yao no matter what
Yaani tutajilaumu mpaka kesho na keshokutwa kukupoteza shem. Dah! Majuto ni mjukuu wallahi!Sahihi kabisa ila mi siwezi Jamani pesa zikitumwa nasema
Mfano hapa juzi schools kalipa ada I told her that your dad paid the school fees so please don't let him download
Binamu sinaga hizo na Niko very open Kwa kweli Wala sifichi kitu akili kichwani mwake asuke au anyoe
Nafikiri kuna kitu wengi wetu hatukizangatii; ila huko mbeleni kinatucost sana. Pamoja na yote ni muhimu kuobserve emotional stability +emotional intelligence ya mwenzi wako. Hakuna mtu aliye emotionally stable atakayefanya jitihada za kuumiza wengine kwa sababu tu yeye ameumia.
There is no separation that doesn't hurt; uwe umemuacha mtu au ameachwa. What matters ni jinsi ambavyo tunadeal na maumivu yetu.
Sasa ukiachana na mtu ambaye ni unstable emotionally; anachokuwa anafanya ni kuwa anatafuta mtu wa kumuhamishia machungu yake. Na kwa case hiyo wewe mzazi mwenza ndiyo unakuwa 1st victim au hata mtoto wenu au mtu yeyote ambaye ataona anaweza kuwa victim wake.(Wapo wazazi ambao wanatengana halafu unakuta mzazi mmoja anahamishia uchungu wake kwa mtoto wakr; mtoto atachukiwa hadi ajute kuzaliwa). Anachotaka kuona ni kwamba unaumia zaidi; na njia rahisi ya kukuumiza ni kupitia kwa mtoto wenu.
Under normal circumstances; hakuna mzazi mwenye akili timamu atakayejisikia amani kumuona mtoto wake ananyong'onyea na kuishi kwenye upweke, questioning his/her worth kwa sababu mama yake amemwambia baba yake hamjali, hampendi, amemtelekeza; ilhali baba anajitahidi kwelikweli kupambana kuwa kwenye maisha ya mtoto wake. Nothing breaks a parent's heart like seeing your kid down. Humsaidii mtoto wako unapomjaza sumu kuhusu mzazi wake mwingine. Ndiyo maana wapo wazazi ambao wanaweza kumdanganya mtoto kuwa hiki kitu kakutumia baba yako; kumbe baba hana hata habari huko aliko. Mzazi mwenye akili timamu atahakikisha analinda hisia za mtoto wake at any cost. Mtoto kukua huku akiwa anajua kuwa mzazi wake mmoja hamtaki/amemtelekeza is so traumatic.....Humjengi mtoto kwa kumwambia mapungufu au kumpandikiza chuki juu ya mzazi wake mwingine; unamuumiza mtu vibaya mnoo
Huyo mzazi mwenzako amebeba uchungu wake wa kutosha juu yako. Yote anayofanya ni kuhakikisha tu kuwa anakuumiza na kufanya watu wengine wakuone huna maana. Sasa usikubali amtumie mtoto wako kukuumiza; na wala usikubali kumtelekeza mwanao kisa ujinga wa mama yake. Wanaume kataeni mambo ya "huyo mtoto akikua atanitafuta mwenyewe". It's high time you fight tooth and nail kwa ajili ya watoto wenu. Usimuache mtoto akue akiwa na ombwe nafsini mwake kwamba baba alinikataa. Itafaa nini mtoto wako aje akutafute akishakuwa ameharibikiwa kisaikolojia au kitabia beyond repair; kisa your absence?
Huyo baby momma wako mpeleke ustawi wa jamii; deal naye kisheria period. Huko mtapewa maelekezo jinsi ya kumlea mtoto jointly. Na mtoto akishaaanza kupata ufahamu (kama bado ni mdogo sana) utaanza kufanya naye mambo kwa pamoja ili kucreate memories na kubond naye. Aone baba akimnunulia nguo, akimlipia ada na mengineyo. In the meantime, keep records of each and everything. Kuna wanawake usipodeal nao ruthlessly; ni mtoto wenu ndiyo atakuwa affected zaidi mwisho wa siku.