Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

le mutuz hakukosea, alikuwa na kipato kidogo, na mke ana mahusiano na mtu mwingine, hana uwezo kutunza watoto, marekani kwa sheria zao usipotunza watoto unaenda jela. hivyo alichofanya, kwasababu aliona mwanamke amedhamiria aende jela au la hata hicho kidogo anachopata kiwe kinapita moja kwa moja kwa watoto yheye aishi mtaani bila kitu, akaamua kukimbia ili akiwa bongo asaidiwe na hata na babake tu. na alipofika alifikia sebuleni kwa mzee wake. hakuwa na kitu. ungekuwa wewe ni le mutuz ungefanyaje? mimi amenifunza funzo kubwa, ninao watoto wa kambo, na siwezi kuruhusu mtu yeyote hata kama ni mke wangu au watoto wangu wa kwenye ndoa, awatese au kuwabagua hao watoto. never.
This is how a man should be !!!
 
hivi wale watoto walishaletwa hata waone kaburi la baba yao? hivi wanajua laana ya baba hao? babako hata akiwa jambazi, ana kitu kikubwa sana kwenye ulimwengu wa roho. mheshimu, na pale unapokosea, juta usamehewe, la sivyo huwa ina repercussions baadaye kwenye maisha. kuna siku wale watoto watajifungia chumbani watalia machozi na watamwona mama yao alikuwa mwongo na shetani
 
Hao watoto wana hekima sana maana kama ningekuwa mimi ningempa shit mpaka presha impande afe hapohapo. Hakuna laana ya baba kuna laana ya mama tu.
huna baba, na kama unaye, ana hasara kubwa sana bora angekuwa amekupiga nyeto tu. ama la, subiri uzeeni, hayo unayoyawaza utayapata toka kwa watoto wako. na hii huwa haijalishi kama uliwalea au la, kuna watu wamelea watoto vizuri wamesomesha wakadondokea kwenye madawa ya kulevya wakageuka kutaka kuwauwa hata wazazi wao ili wapate mali za kuvutia unga, ndio watoto utakaowazaa wewe kama una akili kama hiyo.
 
y
Hapo ndo tumetofautiana brother, mimi sijagusa mahusiano ya lemutuz na ex wife wake ila niliangalia tu zile texts kati ya yule binti na faza wake. Kwa mtu mwenye akili timamu yule binti alionesha kutaka kumaliza zile tofauti ila lemutuz akaweka pride..

IIla haina haja ya ubishani, tuwaachie wenyewe
yaani kama wewe ni mwanaume na upo tayari kupiga goti kwa mtoto aliyetoka kwenye makende yako, wewe kavae tu sketi. baba ni baba, mtoto ni mtoto. baba akikosea mtoto anatakiwa kuonyesha hisia zilizoko moyoni mwake kwa adabu akiwa kama anaongea na baba yake ambaye alipump hadi mbegu zikatoka zikamuunda yeye. hata kama baba amekosea mtoto akiongea kama anaongea na binamu yake, mtoto ndio mwenye kosa. le mutuz amefariki akiwapenda watoto wake kwa moyo wote na alishaeleza yote yaliyomfanya hata akawa mbali nao. after all amewalea tangu utotoni hadi pale alipofikia, watoto wamekuja kuhesabu muda mchache wa yeye alipoondoka marekani wakasahau jasho lote alilolitoa tangu wakiwa na mimba hadi kufikia umri wa kujua kusoma na kuandika. laana ya baba yao itawalamba wale watoto nakuhakikishia.
 
Bro mbona umekuwa emotional sana na ni issue ya kujadili tu online au ipo related na wewe kwa kiasi flani 📌

Kupiga goti si sawa na kuonesha kuwa muelewa kwa hisia za mtoto wako au utayari wa kuyaweka mambo sawa. Isitoshe naamini ukiwa kama mzazi, mtoto wako hatakiwi kuonesha maturity kubwa kwenye kusawazisha mambo kuliko wewe uliyemleta duniani

Naamini kila mwenye kende zilizokomaa duniani pasipo kasoro anaweza kutungisha mimba Ila kuitwa baba ni suala la kimajukumu na kiuongozi, wewe kuwa mtu unaeonesha dira kwa kutumia akili kuliko hisia zako kama jemedari vitani.. Ukishindwa kulijua hili, then that's your problem, not mine mkuu, by the way tukubaliane kutokukubaliana
 
basi vaa sketi kaungane na mange kule kwenye app yake.
 
Na yule nindugu yake jamaa ni mjomba wake kabisa. Yule ni mjukuu wa malecela
Yule sio mjomba ake kabisa, dada wa narehemu alikuwa hawara wa baba wa dada aliyepi states.. Sasa KWAKUWA hawara yule alikuwa mtoto wa pm, na KWAKUWA dada wa states anapenda makuu, alimpa cheo Cha umama kbsa dada wa lemutuz...ndo ujomba wa mchongo unaanzia hapo

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
huna baba, na kama unaye, ana hasara kubwa sana bora angekuwa amekupiga nyeto tu. ama la, subiri uzeeni, hayo unayoyawaza utayapata toka kwa watoto wako. na hii huwa haijalishi kama uliwalea au la, kuna watu wamelea watoto vizuri wamesomesha wakadondokea kwenye madawa ya kulevya wakageuka kutaka kuwauwa hata wazazi wao ili wapate mali za kuvutia unga, ndio watoto utakaowazaa wewe kama una akili kama hiyo.
Baba mpumbavu ni mzigo kwa familia. Acha kutetea mababa wapumbavu. Watoto wa sasaivi wewe kama baba ukiendekeza upumbavu watoto watakukimbia uzeeni.
 
Hao watoto wana hekima sana maana kama ningekuwa mimi ningempa shit mpaka presha impande afe hapohapo. Hakuna laana ya baba kuna laana ya mama tu.
Unaweza kutoa uthibitisho kuwa hakuna laana ya baba ila ya mama TU?
 
Back
Top Bottom