Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Mama kasema yeye sio Mwafrika. Umetoa maelezo yako ya kwanini na amesema sio yeye,
Sasa kama hakuna proof zaidi ya yanayozungumza, then its best ku-drop this.
Anything more, is harassment.
holy ghost!!!!!!!!!!!!!!!!!! sasa tuna tutors wa english humu.
Slim yuko na naendela kujimwaga viwanja kuliko ma teen agers...si unajua tena? hakuna anayetaka kuzeeka....by the way hizi picha hapo chini source ni HAKINGOWI BLOG na Slim sasa hivi anadai katulia OSLO wakati sie wengine tunajua yule Mshiiri hana cha kutulia wala nini
hii picha kapiga October mwaka huu wakati wa Iddi...sasa ES kama unawakumbuka jamaa hapo wee sema tuuu
- Gt saafi sana nimemuona hapo kwenye picha duh! long time sasa kawa mtumzima kidogo si unajua enzi zile alipokuwa Thriller kama Mkulu Mkandara, hivi uliwahi kumuona Mkandara enzi zake za Ma-Holiday Inn? Duh baaaabu kubwa!
GT,where are you,come back and sort out this thread,it seems it has lost its bearings.as the captain you should be the last person to abandon the sinking ship.
Mawazo yangu yalikuwa ni la Korosho
Tatizo lako wewe unachanganya mambo....wewe unamzungumzia KHAMISI YANKEEEZ alikuwa business partner wa MUDI MAS aka TAJIRI MTOTO enzi ziiiileeee walipokuwa wanakwenda States kufanya vurugu
Khamisi aliamua kuwa hotelier wakati Mwarabu bado anaendela "kuuza chupi" kama mwenyewe anavyosema
Actually duka la Nkuruma lilifungwa akafungua lingine kule Kariakoo....si unajua tena kariakoo ndio kwenye biashara?
Hehehe, dah ukisema tajiri mtoto unanikumbusha Airport DIA maana jamaa wote wa TRA wanamuita hivyo, ila Mudi Mas mtu poa sana kuna siku nimekwea naye pipa kutoka NY mpaka Dar....plus nilikuwa napata sana discount pale dukani kwake. Wale jamaa wenye maduka ya nguo kariakoo wengi wao walifungua maduka mitaa ya kati ya mji kama Yankees-Nkurumah, Mudi Mas-Zanaki then Samora, Chicago-Clock Tower...
Hivi Alphas aliishia wapi na yule Sabri mwenye duka la Nice n Easy karibia na Kwa Azam mtaa wa Livingstone..jamaa naye ameniuzia sana jezi za Manchester United alafu Chef Pride ndio ilikuwa kijiwe chake.
hapa ni zaidi ya kudata.... Sidhani kama inahitaji jibu hii
somebody needs an english course to begin with....
I am not make?!!!!???//
Hapa ni zaidi ya kudata.... sidhani kama inahitaji jibu hii
Jamani lugha ya wenyewe kama huiwezi unaruhusiwa kutumia kiswahili.... mweeee
Wale wale,
Babu,kama unaona hapa hapakufai tafuta tafuta issue au thread nyingine ukaonyeshe BUSARA yako huko.(kwanza wewe huna tofauti na sisi wengine wote ungeonyesha tofauti yako kwa kuingia kwa jina lako harisi ili tukujue kama wenzio wakina John Mwanyika au Zitto)
Sisi tuko haoa kufata entertainments sio zaidi,kama wewe uko hapa kufata kuonyesha hasira na busara yako nenda kwenye siasa na mengineyo.
wale wale,
Hiki kijiwe mkuu ,hakuchaguliwi maada au issue ya kuzungumzia ukiona kuna kubore tafuta thread inayo kufaa ndio maana kuna siasa ,muziki na mengineyo.
Kwanza wewe mchanga sana hapa,na kwa taarifa yako kipimo cha BUSARA yako hakipo hapa (kwanza ungeingia na jina lako harisi ili tukujue kama John Mwanyika,Zitto) those guys are serious ones unlike the rest of us tukiingia humu tunatafuta entertainments.