Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Mama kasema yeye sio Mwafrika. Umetoa maelezo yako ya kwanini na amesema sio yeye,
Sasa kama hakuna proof zaidi ya yanayozungumza, then its best ku-drop this.
Anything more, is harassment.
Waambie kisura hao.... hawa ndio wale wale wakipigwa bao kwenye mitihani na jinsia tofauti na ya kwao wanakimbilia kulialia kuwa mitihani imevuja. Na so far hawaelekei kuamini ukweli kuwa hawawezi kusimama kwa hoja dhidi ya gender ambayo wamekuwa wanafundishwa kwa miaka yote hii kuwa ni dhaifu.