maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
- Thread starter
- #101
Hivyo hivyo yaani madem wanampa hela na lodge wanalipa na pombe wananunua ili waliwe rost...Anakufanya wewee??,Heeee?!!!,Tobaaa!!!,Au nimesikia vibaya?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo hivyo yaani madem wanampa hela na lodge wanalipa na pombe wananunua ili waliwe rost...Anakufanya wewee??,Heeee?!!!,Tobaaa!!!,Au nimesikia vibaya?.
HahahaaaImeisha hiyo
Mkuu Kvant iache wenzio walishatangulia mbele ya haki unamjua lema ww? Uje inbox tukueleweshe..roho yako na mwili wako visikosane vikapeana talakaAkitokea mtu anaeweza kutengeneza konyag,kvant value na pombe Kali zizote kimagumashi
Mniunganishe nae na mm nipige pesa natesaeka sana
Police watakuja kumgeuka, ni suala la muda tu. Maana hata baadhi ya police ni wahalifu sasa huyo jamaa anafanya michongo ya kuchomea madili ya watu, watamla kisamvu afu ndo wamuue.Sio Rahisi...maana ni ili afe ni lazma na maaskari wafe yani yeye anaenda nao kama askari then wanagawana hela wanaenda kula bata intel wanayo police wenyewe
Kuna kijana alikuwa anashirikiana nao hivo hivo wakishakutumia vya kutosha wanakutoa sadakaAnafanya ishu ya kifala sana
Hata Hawa unaosikia majambazi yameuliwa hufanya mishe za kijambazi na mapolice na kugawana, ikifika mda Wana malizwa, so asijiamini yuko salama atakufa siku si zakeSio Rahisi...maana ni ili afe ni lazma na maaskari wafe yani yeye anaenda nao kama askari then wanagawana hela wanaenda kula bata intel wanayo police wenyewe
Na pia anatanua mbususu za mabinti/wake za watu kinyume cha sheria ya kujamiana ya mwaka 2018 sura ya pili C.Hata wa sex toys ni mharifu tena huyo anaweza kua na kesi kubwa zaidi ya hao wengine.
Kwanza kaagiza mzigo kimagendo maana hairuhusiwi kuingiza hizo bidhaa nchini. Mbaya zaidi anazisambaza kabisaa anaingiza pesa haramu.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji33][emoji33][emoji33]Hivyo hivyo yaani madem wanampa hela na lodge wanalipa na pombe wananunua ili waliwe rost...
Acha ujinga weweWatu wa namna hii wanakula maisha matamu kuliko watumish kibao wa serikal
Wale kaunta wapuuzi sn wanadhani mtu asiye kunywa pombe hana pesaIlikuaje mkuu
Pale ni htr tupu watoto wamechanganyikiwa k buku tano tu kwenye konaMkuu hilo eneo ikifika night kali ni balaa tupu mzee unaweza toa hadi zambi
Sasa mm utaniweza....nikikuelezea hapa utabaki unaniwaza wiki...tuache hayo tuendelee na mastory ya town...au umekasirika?Unawafundisha vijana uhalifu mkuu? Wewe unafanya ipi kati ya hizo?
Ebu jaribu kujielezea nione kama kweli ntakuwaza, ndiyo nimekasirika sana tu🤪Sasa mm utaniweza....nikikuelezea hapa utabaki unaniwaza wiki...tuache hayo tuendelee na mastory ya town...au umekasirika?