maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
- Thread starter
- #61
Mkuu ogopa sana Majiji...hizi Cities Dunia Nzima ni Hatari sanaPesa na kusaka utajiri kunatupeleka pabaya tunashindwa kufikiri kuhusu aina za mishe tunazopiga uhalali wake na athari zake Kwetu na jamii kwa ujumla .