Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

maishapopote mimi nakushauri utafakari na kujiuliza katika hizo shughuli, ipi ni shughuli halali ya kujitafutia kipato? Je shughuli hiyo unaweza kumfundisha mwanao ili nae afanye kuendeleza maisha?
Mkuu habari ya watoto wangu naamini haihusiki hapa ila jua kabisa hapa mjini kuna watu wanafanya kazi za ajabu mno hivi unajua kuna watu wamekua matajiri kwa maana ya nyumba tatu gari na watoto shule nzuri kwa kua tu wapambe wa kina omar bakhresa..na kuwaletea gomba aina ya kangeta?
 
Umenisambaza,gomba,tangeta?
 
Mjini mipango
Saaana hapa mjini kuna mabalaa sana kuna wachina nawajua wana godown wanauza vioo vya magari bei cheap sana ila sasa wao wanadeal na mafundi tu yaani unaenda kwa fundi unampa hela anakuagizia kioo kinaletwa kwa boda..
Then anakuwekea ..balaa hakuna anaejua godown yao iko wapi
 
Haha sema unafunguka sana.. Kama unataka kuweka mchanga kwenye vitumbua vya watu.
 
Pesa na kusaka utajiri kunatupeleka pabaya tunashindwa kufikiri kuhusu aina za mishe tunazopiga uhalali wake na athari zake Kwetu na jamii kwa ujumla .
 
Kweli Mipango, Dah hii mipango inapangiwa wapi ?
 
Back
Top Bottom