Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli..nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys..kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za watu na wadada...bei hata hawabargain...unamkuta kwenye foleni anaenda job anadrive..chini kaeka vibrator anacheza nayo hadi anakojo.

Mchizi wa Pili anakaa Sinza Kajaa mbaya gym muda wote ila jamaa hela ya kula haimpigi chenga na bia mbili tatu na misele kwenye vitz yake...tumepiga mtungi akaniambia mwanangu mi huwa naitwa kwenye massage karibu zote za sinza..wamama wakitaka massage au kuliwa au threesome napigiwa simu fasta tukibargain naingia mzigoni.

Master Mwingine mjanja kabisa wa Mjini yeye mishe zake yeye anatafuta matajiri anawaonyesha milango na furniture kali sana then anavuta advance anenda mwenge pale analamba mafundi anaingia site..cha juu chake yeye sio fundi wala hajui lolote.

Mchizi wangu mwingine anatengeneza dawa za mchwa na kuuza na ana mzigo wa kutosha,nyumba na ndinga.

Mwingine ananunua mabati ya kawaida anafuta nembo yake halafu anapiga muhuri mwingine...wa kampuni maarufu..maisha yanaenda.

Mwingine ana washkaji maaskari..wakienda kukamata magendo bagamoyo na yeye anaenda nao wanagawana noti kama na yeye ni askari.

Mwingine dah....tuishie hapo ila hawa wote ni washkaji,tunakula nao monde..wanavaa safi wa mjini kabisa ila huezi jua anafanya nn mpaka mshibane.

Somo ni kwamba unaeza fanya kazi yoyote na bado ukaishi lifestyle unayotaka..tupambane sana na usimuige mtu matumizi hujui kazi zake.

maishapopote mimi nakushauri utafakari na kujiuliza katika hizo shughuli, ipi ni shughuli halali ya kujitafutia kipato? Je shughuli hiyo unaweza kumfundisha mwanao ili nae afanye kuendeleza maisha?
 
Back
Top Bottom