Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

Hivi lemutuz kwa akili kisoda vile unaweza kumpa cheo gani,alikosea akiporudi tika kubeba maboksi angekuwa lowprofile ye akaha na swaga za kitoto at his 50s,dish limeyumba
 
Le mutuz ni bilionea anakaa na mabilionea wenzake kama akina mosha, hawezi kukaa the whole day bungeni muda huo anautumia kuingiza mapesa...le akili kubwaaz, american spirit
 
Akitokea UDSM acha ujinga dogo
Katibu Mkuu ni kama Jaji wa Mahakama, haitakiwi ateuliwe kutokea kufundisha chuoni, hata awe Professor. Anatakiwa awe anajua utawala watu huru siyo wanafunzi.Vinginevyo ungeona maprofesa hapa duniniani wameajiriwa sehemu nyingi.Mtazamo wa Tanzania kama wako ni sababu mojawapo ya Tanzania kuwa hapa tulipo; kuwa na maendeleo hasi; tunachanganya kusoma na utendaji na pia kuwa na imani potofu kuwa mtu ye yote anaweza kufanya kazi yo yote! Ndiyo maana wengi tunategemea waganga wa kienyeji badala ya kwenda hospitali. Akili ya aina hii imeshamiri hata kwa waliokwenda shule. Ni aibu!
 
Hivi lemutuz kwa akili kisoda vile unaweza kumpa cheo gani,alikosea akiporudi tika kubeba maboksi angekuwa lowprofile ye akaha na swaga za kitoto at his 50s,dish limeyumba
Mkuu hapa ni kiswahili tuu au umechanganyia maneno ya kilugha chako?
 
Reactions: Qwy
Sidhani hata kama wanaishi Tanzania, ni vijana wawili wa kiume...
Kwanza na zile swagger zao zilizojaa umarekani mwingi mambo ya siasa wanayaona michosho tu.
USA ndiyo wanaita 'home'[emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]!
 
We yohanambatizaji weeee eee eee!
 
Kwahiyo Jo siasa ndio kila kitu kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…