Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

Ni sawa Boss wangu. Lakini umekutana nao ukaona wangapi wanajua hata maana ya Katibu Mkuu au hujawahi wapelekea tatizo. Mimi nina ushahidi wa kimaandishi hapa kwa baadhi ya majibu yao waliyonipa nilipowapelekea tatizo. Wanaudhi halafu wanadhani wanajua! Kuna tofauti kubwa sana kati ya shule na utendaji ingawa ni kweli kuna wachache wamefaulu yote mawili; hao nao nawafahamu lakinihao wachache hawatangulizi vyeti kwenye utendaji na pia wako tayari kuelezwa yale ambayo hawayajui!
 

Vipi kuhusu watoto wa Mkapa, Magufuli, lets say Sumaye na Msuya kwa uchache. Hasa hao wawili wa kwanza, ukinijibu hapo nitakufafanulia sababu
 
Le Mutuz mbona alipanda sana hadi kuwa mshika begi wa Makonda !
 
Ngoja leo huenda nikaelewesha vizuri.
Umesema makamba ni bright, u-bright wake upo kwenye nini?
 
Tatizo ni kiburi chao tu cha kujiona wasomi,kujifanya wanajua kila kitu lakini kazi yao sio ngumu kivile,degree moja tu kwa any field inatosha,kumbuka mwandosya na mohamed bilal pia walitoka udsm kuwa makatibu wakuu wazuri tu
 
Tatizo ni kiburi chao tu cha kujiona wasomi,kujifanya wanajua kila kitu lakini kazi yao sio ngumu kivile,degree moja tu kwa any field inatosha,kumbuka mwandosya na mohamed bilal pia walitoka udsm kuwa makatibu wakuu wazuri tu
Majina mazuri lakini kama wangefikia hata nusu ya umahiri na utendaji wa Katibu Mkuu Timothy Apiyo hungehitaji kuwaibua hivyo ungesikia Ukatibu Mkuu wao unaelezwa ulivyotukuka kama unavyowasikia baadhi ya Majaji waliopita sifa zao. Makatibu wakuu nguli wengine ni akina Shelukindo, Benard Mulokozi na Rutabanzibwa aliyekuwa Wizara ya Ardhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…