Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Una uwakika? Kama hawafanyii bongo je? Napata taabu kidogo kwsbb kama baba anachukua kibinti / kitoto chake , sijui itakuwaje kwa wanaye
Ulimjua vizuri motie? R.I.P. motie
sasa si useme??
 
Hawa ndio definition ya 'DOWN TO EARTH' huwezi kuwajua mpaka uambiwe huyu ni fulani. Abdiel mpaka kesho yuko hivyo.
 
Mie hata sijawaiwaona hata kwenye picha tofauti na wale mapacha wa sasa
 
Kichwa ndio utambulisho wa mwili mzima.Ukiskia fulani kichaa inamaanisha kichwa chake hakipo sawa.Nidhamu ya watoto wa R.Mengi ni mfano wake yeye kichwa cha familia.Hata mkewe Jacklyn hana makuu.Waendelee kujiangalia
 
........kuigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…