Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Subirini watoto wa mastaa wenu wenye followas maelf kwa maelf huko instagram.... wanachambwaaa, wanatukanwa, wanasifiwa, mamazao wanajipiga picha za nusu papuchi,.... umeshawaza wakikuwa watakuwaje??!!!
 
Lazima wawe vizuri
Wazazi hawana stress

Wengine wazazi wana stress za maisha hata kuhandle watoto wanashindwa
 
Ila hata baba yake wema hakuwa mtu dhaifu pia
Matatizo ya Wema,Mabeto na Diamond sio baba zao bali mama zao,umjini na ushwahili umewakaa sana kwenye akili zao,wao wanatumia uceleb wa watoto nao kujifanya maceleb hadi wanakosa akili kuwa wao ni wazazi na ni watu wazima,kutwa wapo makalioni kwa watoto wao
 
Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa bongo ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri r. i. p.motiel mengi.. ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa

Mithali 22:6
 
Kati ya marufuu na star, marufu anaongoza kwa njaaaa, fid q voice
 
Pinda nawafahamu watoto wake wawili wana mbwembwe vibaya sana mmoja wa kike na huyo wa kiume ukikaa naye unaweza kuchukia bila kupenda
Yule wa kike ndiye aliyepata masters hapo mzumbe?
 
MRADI HAUZIJUI, poa!
ila wala usiwachukulie yamini!
 
Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa bongo ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri r. i. p.motiel mengi.. ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa
Usilolijua......vipi yule anayewaoaga wanawake wenzie
 
Motie katifua sana watoto wa ifm aisee. Siku ambayo manzi wangu aliingia ndani ya gari yake ambayo ilikua imepaki kule usawa wa makumbusho ya taifa ndio nikajua karatasi yenye thamani ni pesa, vyeti ni uchafu..
So ugonjwa wetu maarufu umeshaucheck?Kama bado hakikisha kacheck mkuu maana yawezekana alikuwa anatembelea Jimbo kitambo wakati na wewe ndo mwenye Jimbo!
All in all sio tatizo nowdays,zingatia masharti tu!
 
Nlimtema instantly mkuu
 
Niliwahi kutamani kuweka thread kama hii kuhusu Mh Mizengo kayanza peter Pinda!! Nikaogopa kubananishwa!! But now this you unleashed my peer appreciations to whom it's due!!asante sana
Unadhani kwa Uzi huu utazuia wewe kubananishwa??
 
Motie katifua sana watoto wa ifm aisee. Siku ambayo manzi wangu aliingia ndani ya gari yake ambayo ilikua imepaki kule usawa wa makumbusho ya taifa ndio nikajua karatasi yenye thamani ni pesa, vyeti ni uchafu..
Acheni kumsingizia marehemu mimi nilisoma naye darasa moja Ifm hicho unachokisema nakataa asilimia 100 RIP Mutie
 
Back
Top Bottom