Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah... basi angalau tungewaona wanachomwa sindano shingoni wakiumwa hospitalini [emoji4]Fimbo za matako hazilemazi hata upigwe 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah... basi angalau tungewaona wanachomwa sindano shingoni wakiumwa hospitalini [emoji4]Fimbo za matako hazilemazi hata upigwe 100
Dah..wewe si umezaliwa juzi tu baada ya vyama vingi[emoji15] [emoji4]Nakumbuka nilivokua napokelewa na kichapo home nikitoka shule kama kuna kiporo cha kosa jana yake
Huko huko wanapochoma ndo pazuri ili usilemae [emoji2] [emoji2]Dah... basi angalau tungewaona wanachomwa sindano shingoni wakiumwa hospitalini [emoji4]
Akifanya hivyo ukamsikia umamuamkia "shikamoo"Vp tabia za wakubwa kuchafua hewa na kutusingizia watoto?
Hiyo Ni kweli tupu mkuuDah.. kama ingekuwa ilikuwa hivi basi zaidi ya nusu ya watu wazima wangekuwa walemavu[emoji4]
Njoo nikuchezeshe.Nimemiss kuchezea kichapo....
Na kindumbwedumbwe chalia na masizi usoni mwenzenu kananihii na nguo kaitia moto mitaa yote hapo watajuaUkikojoa kitandni unachapwa
Me nakumbuka mzee alinichapa nikamtegea sindano ktk kochi lake analopenda kukaa.wee ilikuw shida ingawa sikujulikana hd leo.
....mbafu, kumbe ni wewe!!!Ukikojoa kitandni unachapwa
Me nakumbuka mzee alinichapa nikamtegea sindano ktk kochi lake analopenda kukaa.wee ilikuw shida ingawa sikujulikana hd leo.
Dah... ukira ugari??[emoji15]Ukira na wakubwa ukianza kura nyama unachapwa. Ukira na wakubwa ukabakia ugari kidogo ukanawa ukambakizia mkubwa utachapwa. Ukira na wenzako ukawakodolea macho wenzako utachapwa. Ukimega tonge kubwa kuzidi mkubwa utachapwa.
Mtoto akibisha atachapwa!Vp tabia za wakubwa kuchafua hewa na kutusingizia watoto?
Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo:
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa ukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa
6. Kujipitishapitisha mahali ambapo wazee wamekaa, utachapwa .
7. Kuwajibujibu watu wazima, utachapwa
8. Usipomjibu mtu mzima, utachapwa
9. Kujifanya sugu wakati wa unachapwa, utaendelea kuchapwa.
10. Ukitoka kuchapwa, ukaimba au kupiga mruzi, utachapwa tena.
11. Usiposalimia wageni, utachapwa
12. Ukila chakula cha wageni, utachapwa.
13. Kuwalilia wageni wanapo ondoka, utachapwa.
14. Ukikataa kula, utachapwa.
15. Kuchelewa kurudi nyumbani baada ya jua kutua, utachapwa
16. Kula nyumba ya jirani, utachapwa.
17. Kujitia kisirani, utachapwa.
18. Kujitia kujuwa juwa sana, utachapwa.
19. Ukipigana na mtoto mwenzio, akakupiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
20. Ukipigana na mtoto mwenzio, ukampiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
21. Ukiwa unakula chakula polepole, utachapwa.
22. Ukiwa unakula haraka haraka, utachapwa.
23. Ukiwa unakula sana, utachapwa.
24. Kuendelea kulala wakati wazee wamesha amka tayari, utachapwa.
25. Ukiwa unawaangalia wageni wakati wanakula, utachapwa.
26. Ukitembea na mtu mzima, ukajikwaa na ukaanguka, utachapwa.
27. Ukitembea na mtu mzima, akajikwaa ukamcheka, utachapwa.
28. Ukijamba mbele ya wakubwa, utachapwa.
29. Mtu mzima akijamba, ukamwangalia, utachapwa.
30. Ukila na wakubwa ukachukua nyama bila kupewa, utachapwa.
31. Ukinawa kabla ya wakubwa, utachapwa.
32. Ukimaliza kula ukanyanyuka kabla ya wakubwa, utachapwa.
33. Umechelewa kurudi dukani, utachapwa.
Mie wa siku mingi banaDah..wewe si umezaliwa juzi tu baada ya vyama vingi[emoji15] [emoji4]
Mmh wewe naogopa kucheza naweNjoo nikuchezeshe.