Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fala sana huyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wazee wetu walikuwa wanaona mbali sana. Hilo lilikuwa somo kwa ajili yenu kuwa mkiamua kujiua na hasara zenu si zake so hii iliwaogopesha kwamba hata ukifa hakuna anaejali but rohoni wanakuwa wamebeba machungu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Ukiwa mdokozi utachapwa
Ukiwa cheka wenye magovi unakula kipigo
Ukicheza kibaba baba mkaenda jifisha na mama zaidi ya lisaa wenzenu wakienda kusema unachapwa
Ukikaa na mdada aliekuzidi umri afu anakwita mchumba, kichapo
Kuku wasipoenea bandani kichapo
Ukichagua msosi kipigo
Ukikataa kwenda shamba kichapo
Ukisusa kichapo
Ukirudi home chupi ya VIP iko kifuani kichapo
Ukitamka neno chumvi usiku, unazibuliwa na mwiko wa kushtukiza afu unaambiwa sema mkubwa wa jiko.
Ukila firigisi kichapo, hiyo anakula baba
Ukitoka kwenye ngoma za mashetani usiku fimbo
Ukienda madrasa umechelewa kichapo, na usipoenda kichapo.
 
Kwenye namba 12 ila mgeni akila chakula chako usilie na utaambiwa usubiri cha usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchapwa kisha ukaanza kupiga mluzi au kuimba unaachapwaa.
Unachapwa harafu unyamaze kisha ule,mama yangu sijui ukali katika matukio tajwa hapo uliishia wapi?
Leo hii kuna last born wetu yupo darasa la saba,anadeka mapaka anakera,au kwa sababu ni binti peke yake??

Never say never
 
Mkuu huu uzi umenikumbusha maisha ya utoto.. Wengine tumelelewa na Wazee wakoloni sana. Siku moja tuko mezani tunakula. Sasa nikanawa kabla ya mgeni, nilisikia kofi limetua usoni sikujua limetoka wapi. Sekunde kadhaa nyota zikanijaa usoni na kupotea. Baada ya clear vision namuona mshua kasimama mbele yangu jicho nyanya...


[emoji28] kweli heshima kama hukuipata, basi hutoipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema namba 15, imenitesa sana, saa 1 kamili unatakiwa uwe ndani. Ukiwa mpirani jioni ndio mpira unanoga.. [emoji23] mpira unaisha saa 2 usiku ndio unafka home

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Sent from Nokia 7 Plus
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ukifanya kosa mtaani mfano mkikutwa mnapigana,anaweza atokee mzee yeyote ambaye hata hawafahamu akawachapa na ukienda kusema nyumbani utachapwa tena

Sent from my TECNO F1 using Tapatalk
Zamani tulipata malezi hasaa yaani siku hizi utathubut kuchapa mtoto wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…