rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fala sana huyooAisee acha kabisa ndugu yetu yeye tukiwa likizo kwa babu, siku moja asubuhi tunajiandaa kwenda shamba nyuma tu ya nyumba yeye akagoma na kutishia kujinyonga (sijui ugomvi ulianzia wapi na babu)
Babu akasema mwacheni ajinyonge nitazika.... Basi tukaenda shamba... Muda si mrefu tukasikia mtu anapiga kelele, kukimbia kufika home, jamaa ananing'inia ila kaweka mikono kwenye shingo kamba isimbane... Kumbe alitundika kamba kwenye kenchi akapanda juu ya kiti akajitia kitanzi, akakipiga kiti teke kikaanguka... Maumivu yalipozidi akijiokoa kwa kuweka mikono kooni na kupiga kelele
Babu alipokuja tukajua atapaniki na kusema tumshushe
Kwa mshangao wa wengi babu alikuja na mkwaju wa mpera... Jamaa alichezea kichapo mpaka akakojoa ndio tukamshusha... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa hivi ni boss mkubwa mahali... Siwezi hata kumkumbushia
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app