Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Utundu
Hahaha, wazee wa zamani , katika malezi walijitahidi asee, nimepigwa saana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Kwa orodha ya hiyo michapo mbona kila siku ilikuwa lazima mtu achapwe!!! Basi wazazi wa zamani walichangia uharibifu wa misitu
 
Kwa orodha ya hiyo michapo mbona kila siku ilikuwa lazima mtu achapwe!!! Basi wazazi wa zamani walichangia uharibifu wa misitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,Ngoja tuupitie huu mswada...Japo kuchapa sio lazima fimbo...kuna kitu cha ndala na vifinyo.
 
Dogo, Uzi kuhusu haya mambo mbona upo hapa JF kitambo? Pia naona umefanya C&P.
 
Ukigombana ukapigwa unachapwa!
Pia ukigombana ukapiga unachapwa!

Ukitia mimba ukaikataa unachapwa ukiikubali pia unachapwa!

Ukikataa kosa unachapwa ukiikubali pia unachapwa!..πŸ˜‚

Inaitwa ukikaa nchale ukisimama nchale..πŸ˜œπŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,Zamani vyovyote vile lazima uchapwe.
Ukigombana ukapigwa unachapwa!
Pia ukigombana ukapiga unachapwa!

Ukitia mimba ukaikataa unachapwa ukiikubali pia unachapwa!

Ukikataa kosa unachapwa ukiikubali pia unachapwa!..[emoji23]

Inaitwa ukikaa nchale ukisimama nchale..[emoji12][emoji23]
 
Wazazi wa zamani sijui kwa nini walikuwa na hasira za haraka sana au kwa sababu hizi sijui doggy style nk. Walikuwa hawazijui ilikuwa ni mwendo wa kifo cha mamende
 
[emoji855]
Wazazi wa zamani sijui kwa nini walikuwa na hasira za haraka sana au kwa sababu hizi sijui doggy style nk. Walikuwa hawazijui ilikuwa ni mwendo wa kifo cha mamende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…