Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Ukikojoa kitandni unachapwa
Me nakumbuka mzee alinichapa nikamtegea sindano ktk kochi lake analopenda kukaa.wee ilikuw shida ingawa sikujulikana hd leo.
Na kindumbwedumbwe chalia na masizi usoni mwenzenu kananihii na nguo kaitia moto mitaa yote hapo watajua
 
Mie siku mmoja Nilimsifia mama wa jirani ananenepa kwa sababu ya kura ubwabwa kila siku niliongea mbele ya mama NIKACHAPWAA ! Niliambiwa Nina tamaa !
 
Ukira na wakubwa ukianza kura nyama unachapwa. Ukira na wakubwa ukabakia ugari kidogo ukanawa ukambakizia mkubwa utachapwa. Ukira na wenzako ukawakodolea macho wenzako utachapwa. Ukimega tonge kubwa kuzidi mkubwa utachapwa.
 
Reactions: e2n
Dah... ukira ugari??[emoji15]
 

15 na 16 hahaaa
 
Ndio maana Waafrika wengi tunakosa uthubutu na kujiamini, tunakua kwa taabu na maonevu sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…