[emoji13]...umenikumbusha mbali mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Ume msahau Mzee tola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13]...umenikumbusha mbali mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Ume msahau Mzee tola
[emoji23][emoji23][emoji23]ukichungulia wakubwa utachapwaHahahaha...ukishangaa shangaa...unachapwaaa
Ukilamba kamasi? Ukipiga chabo? [emoji23][emoji23][emoji23]Ukiumia kwenye mpira ukirudi nyumbani utachapwa.
Ukienda kuogelea baharini ukirudi nyumbani utachapwa
Usipo onekana saa ya kula utachapwa
Au ukipewa kitu na mgeni ukapokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwenye namba 25,hahaaaa.
Sent from Nokia 7 Plus
Na penyewe ilikwa ni shughuli,utashughulikiwa kweli kweli[emoji23][emoji23].Au ukipewa kitu na mgeni ukapokea
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa unalazimisha kuwa macho wakati wakubwa wanataka kulala usiku, utachapwa..[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1.Ukiagizwa dukani na mama ukaonyesha kukasirika utachapwa.
2. Ukikutwa unaangalia miziki ya kizungu wamevaa vibaya utachapwa.
3. Mtoto wa jirani akikupita shuleni utachapwa.
4. Ukivunja sahani au kikombe cha udongo viboko.
5. Ukidondosha chenji utakula mboko.
6. Ukicheza mvua inanyesha utachapwa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna namna tuliishi ishi daah...yaani ukizingua unajua kabisa adhabu yako ipo wapi.Na wakati unapewa adhabu basi lazima uikubali hasa anayekupa adhabu uendena na matakwa yake.[emoji23][emoji23][emoji23]ukichungulia wakubwa utachapwa
Jr[emoji769]