Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

Naunga Mkono Hoja na Imekaa vizuri Pia ila Uongeze na Watoto wa WKuu wa Mikoa Ma RPC na wakuu w jeshi ngazi za mikoa
 
Yaani nimecheka sana. Unaonekana kukerwa sana. Hata hivyo naunga mkono hoja. Bila kusahau na wajukuu zao,walipwe tu kwani hatari ni nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Na machawa mlipwe ata milioni5 itapendeza
 
Yaani nimecheka sana. Unaonekana kukerwa sana. Hata hivyo naunga mkono hoja. Bila kusahau na wajukuu zao,walipwe tu kwani hatari ni nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

πŸ˜€πŸ˜€
Nakerwa na nini mkuu?
Tuwalipe angalau milioni moja, mbili au tatu.
Wewe kipi kwako bora? Tuwalipe au wajilipe?
 
Naunga mkono hoja, ila malipo hayo sio kwa ajili ya kuwatia moyo bali ni compensation of loss of parental love and parental quality time with their children and kupunguza mateso ya ridicule kwa wazazi wao, wao ndio waathirika.

P
Kila mtu alipwe tu maana anafanya kazi kwa maendeleo ya nchi ( Kinyume cha hapo ni ubaguzi- wengine walipwe na wengine wasilipwe) , issue ni namna ya ku- calculate hiyo loss of parental love na parental quality time- Itafutwe formula mahsusi itumike na walipwe- noises zote zitaisha
 
Nimejaribu kuisoma hii habari kwa umakini ili nione kama upo serious or not. Hadi sasa sijajua kama umedhamiria kabisa iwe hivi au umeleta utani. Kama upo serious kabisa na unatamani iwe hivi, nimekutukana matusi yote yale makubwa makubwa siandiki hapa maana nitapigwa ban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…