Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

Dawa yao kuwafanyia maombi au sio wasubirie miujiza ya wagalatia[emoji1787]
Yesu hakuwa na huo uzembe wa kuvizia kulipwa na watu. Yeye ndiye aliyekuwa anawalisha wenye njaa. So Waige mfano wa Master[emoji1787]
 
Wivu wa kike. Sitegemei kama Watanzania wa kawaida wanaona vibaya Mrs Myerere kupewa posho ya kula. Mama Sitti alivyo mpole hii chuki mnaipata wapi? Kwa nini aside na msaidizi kwenda markiti?
 
Tag Mbunge Salma Kikwete apeleke tena hoja yake .....wwlipwe hadi kina amiraji salama Riz1 na wengine wote walipwe wana stress sana kuwa watoto wa wakubwa
 
Wivu wa kike. Sitegemei kama Watanzania wa kawaida wanaona vibaya Mrs Myerere kupewa posho ya kula. Mama Sitti alivyo mpole hii chuki mnaipata wapi? Kwa nini aside na msaidizi kwenda markiti?
Ndio tunasema hii list iongezwe kidogo hata kwa watoto ubaya uko wapi hapo? 😂
 
Wivu wa kike. Sitegemei kama Watanzania wa kawaida wanaona vibaya Mrs Myerere kupewa posho ya kula. Mama Sitti alivyo mpole hii chuki mnaipata wapi? Kwa nini aside na msaidizi kwenda markiti?

Ni wivu wa kike kweli. Hata mimi sitegemei wala kuona vibaya wajukuu wa Nyerere kulipwa. Ni wajukuu wa Baba wa taifa. Watu waache Wivu.
Wakati Watu wanapigania Uhuru wazazi wao walikuwa wapi?
 
Reactions: EEX
Msiisahau michepuko yao jamani. Muhimu sana
Hao wasilipwe Kwa sababu wanatumia viungo vya miili yao vibaya. Haiwezekani viungo vya Uzazi wanavitumia Kibazazi. Nasemaje michepuko isilipweee[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…