Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
- Thread starter
- #41
Point ni kwamba Serikali iboreshe shule zake. Inatakiwa waboreshe shule hadi na wao watamani kupeleka watoto wao shule za public.Acha ujinga hata huko kwa walionazo watoto wa wanasiasa na wenye pesa hawasomi hizo shule za community, ndio maana tulizaliwa tofauti,kazana kutafuta hela badala ya kutuletea ujinga hapa,hata ulalamike haitusaidia kitu,hebu muangalie jirani yako kama mnafanana kimaisha ndio uje upya,matabaka yapo na yataendelea kuwepo sio sababu ya sera za seriakli bali ndio mfumo wa maisha,unaweza ukasoma FEZA na ukawa kilaza na yule aliyesoma Kaumba kule Bariadi akawa kichwa