Watoto wa wapiga kura wanakosoma VS Watoto wa wapigiwa kura wanakosoma

Watoto wa wapiga kura wanakosoma VS Watoto wa wapigiwa kura wanakosoma

Heeee.... si nimesikia magufuli kawaambia mzae ili tuwe kama china! Vipi tena imekuwaje?

Ikifika 2025 kutakuwa na watoto zaidi ya milioni kumi waliozaliwa katika kipindi hichi cha magufuli na ambao wanahitaji kwenda shule!

Sasa sijui atawaweka wapi!! Principles za uchumi wa kichattle chattle ni shida!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Magufuli hatumii akili. Hapo tu wanafunzi wengine wameshindwa kwenda form one kisa madarasa hakuna.
Hawa primary nao ndo Janga la taifa. Halafu watu wanaambiwa wazae.
Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Mnaosubiri elimu bure hayo ndio matunda. Kuzaa, uzae wewe, kulea utegemee serikali. Mimi na kipato changu kidogo najitahidi sana kuwekeza kwenye elimu ya watoto wangu. Nanyi wengine, Aidha muungane na mimi au mkubali matokeo.
We hujui maana ya public services. Pia huelewi nn watu wanaongea. Kama serekali inayokusanya kodi katika nchi haiwezi kutoa huduma bora kwa jamii si iondoke madarakani? Huu ni mfano mmoja tu wa elimu, mtoa mada akionesha ukosefu wa maji safi na salama wewe utasema umechimba kisima chako? Vipi kuhusu barabara utajenga za kwako pia? Unafkiria vibaya kabisa katika ubongo wako.
 
Nimezitizama hizi picha roho imeniuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
isikuume sana hapohapo ndo wanatoka vipanga ambao baadhi yao wakikaa sawa unasahau kama walisoma hizo shule wacha wasome mambo yote mawili uskauti na shule kitaeleweka.
ukitaka kuujua ukweli angalia house girl anavyoandaliwa kuwa mke mzuri halafu linganisha na binti wa boss kama anaweza kuwa mke mzuri kama haitoshi wanawake wengi mjini wanaoweza vumilia ndoa na wakawamsaada mkatoboa kwa maisha ni hawa waliosoma shule hizi za skauti.
 
Ni kweli wakitoka huko wanakuja kua 'vipanga' kama vile Prof .Kabudi,Dr Bashiru,Dr.Mwigulu Nchemba hahah.
isikuume sana hapohapo ndo wanatoka vipanga ambao baadhi yao wakikaa sawa unasahau kama walisoma hizo shule wacha wasome mambo yote mawili uskauti na shule kitaeleweka.
ukitaka kuujua ukweli angalia house girl anavyoandaliwa kuwa mke mzuri halafu linganisha na binti wa boss kama anaweza kuwa mke mzuri kama haitoshi wanawake wengi mjini wanaoweza vumilia ndoa na wakawamsaada mkatoboa kwa maisha ni hawa waliosoma shule hizi za skauti.

dodge
 
The haves and have nots

Moja ya sababu kupiga chini watu kama hakina Zitto uchaguzi huu.

Kuwa mpinzani sio kutaka kuona watoto wa maskini awapati misaada ya elimu kisa ukubaliani na sera za serikari.
 
FB_IMG_1578925295686.jpg
 
Wanasiasa/Viongozi wa serikali ambao wanaongoza kutokana na chama chao cha siasa kushinda uchaguzi.

Hao ndio wanaoweka sera katika kufanya taifa liendelee kizazi mpaka kizazi.

Serikali iliyopo madarakani viongozi wengi watot wao wanasoma Feza kwa mfano watoto wa Magufuli,Mwigulu,Bagaile in short almost watoto wa viongozi wote wanasoma Feza. Siyo kitu kibaya.

Hapa inadhibitisha wanapenda shule nzuri. Ila cha kushangaza sera zao mbovu shule za serikali ambazo watoto wa wapiga kura wao ndo wanasoma ni majanga.

Jamani hizi shule naziita yatima maana hata maneno ya kuzielezea yananiisha. Mtajionea kwenye hizi picha. Gape ni kubwa.

Hata wanaolazimishwa kuvaa masweta yenye rangi ya bendera ni hawa makapuku ! huko kwingine mtoto halazimishwi hiyo misare ya masweta wakati wa jua kali
 
Hata wanaolazimishwa kuvaa masweta yenye rangi ya bendera ni hawa makapuku ! huko kwingine mtoto halazimishwi hiyo misare ya masweta wakati wa jua kali
Unaona eeeh. Mtoto wa mpiga kura future yake haina uhakika. Hivi kweli utaanza vipi kumwambia Elimu ni ufunguo wa maisha wakati hata Darasani anakaa chini.Angalia gape lilivyo kubwa kati ya watoto wa mpiga kura na watoto wa mpigiwa kura. Miaka ya tisini walau sisi primary kayumba tulisoma na watoto wa wabunge. Ila miaka ya elfu mbili gape ndo likaanza kuja. Shule za Kayumba zimetelekezwa. Watoto wao wanasoma "English medium"
 
Mbona msikitini hamna viti Wala madawati na shekh anaeleweka? Nenda udsm ukite darasa moja wako elfu miatano mwl nenda saut education darasa moja wako elfu tatu, tafuteni hoja za maana, sio kutuletea picha za akina lowasa

Mkuu, najaribu kutafakari bandiko lako. Ukiita hoja hii kuwa sio ya maana lakini ukizungumzia idadi ya maelfu wa wanafunzi katika vyuo kama ni jambo jema. Ukiangalia viti katika picha hizo kama sio tatizo eti kwa kuwa msikitini hakuna viti. Nikukumbushe jambo hili - kuhamisha maarifa (kufudisha) ni sayansi na sanaa kwa wakati mmoja. Haiwezi kuwa sanaa tu. Nikitumia picha zilizobandikwa - personalized teaching/learning inawezekana tu pale mwalimu anapokuwa na uwezo wa kutambua uwezo wa mwanafunzi mmoja mmoja. Ni kwa njia hiyo tu anaweza kumwendeleza mwanafunzi katika "strength" na kushughulikia "weaknesses". Unadhani katika picha hizo - ni mwalimu yupi atakuwa na wepesi katika kuhamisha maarifa???

Huu ni ukweli wazi kabisa. Elimu yetu imekwama na hawa watoto wa Feza wana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko hao maelfu waliokaa chini!! Elimu yetu ya umma inapaswa kuwa kiwango cha hao Feza!! Kuna shule nchii hii hazitumii hata mitaala ya wizara ya elimu - zimejielekeza kwenye international standards!! Na huku shule za umma haziwezi hata kufundisha mitaala yake na kuikamilisha kwa ukosefu wa waalimu, majengo nk. Inasikitisha!!
 
Unaona eeeh. Mtoto wa mpiga kura future yake haina uhakika. Hivi kweli utaanza vipi kumwambia Elimu ni ufunguo wa maisha wakati hata Darasani anakaa chini.Angalia gape lilivyo kubwa kati ya watoto wa mpiga kura na watoto wa mpigiwa kura. Miaka ya tisini walau sisi primary kayumba tulisoma na watoto wa wabunge. Ila miaka ya elfu mbili gape ndo likaanza kuja. Shule za Kayumba zimetelekezwa. Watoto wao wanasoma "English medium"
chanzo ni chama chako
 
Acha wasome huko ila vibanda tisa vinawekwa na wa Kayumba
 
Mbona msikitini hamna viti Wala madawati na shekh anaeleweka? Nenda udsm ukite darasa moja wako elfu miatano mwl nenda saut education darasa moja wako elfu tatu, tafuteni hoja za maana, sio kutuletea picha za akina lowasa

Acha utoto we dogo, msikitini watu wanaandika? Kuna mtihani baada ya hayo mahubiri ya sheikh?
 
Wanasiasa/Viongozi wa serikali ambao wanaongoza kutokana na chama chao cha siasa kushinda uchaguzi.

Hao ndio wanaoweka sera katika kufanya taifa liendelee kizazi mpaka kizazi.

Serikali iliyopo madarakani viongozi wengi watot wao wanasoma Feza kwa mfano watoto wa Magufuli,Mwigulu,Bagaile in short almost watoto wa viongozi wote wanasoma Feza. Siyo kitu kibaya.

Hapa inadhibitisha wanapenda shule nzuri. Ila cha kushangaza sera zao mbovu shule za serikali ambazo watoto wa wapiga kura wao ndo wanasoma ni majanga.

Jamani hizi shule naziita yatima maana hata maneno ya kuzielezea yananiisha. Mtajionea kwenye hizi picha. Gape ni kubwa.

Ndo viongozi tulionao Kaka Kama na wao wangekuwa wanapeleka watoto was katika shule kama hizo zenue mlundikano was watoto hakoka wangeweza kukaa chini na kufanyia marekebisho hizo Sera mbovu. Viongozi wengi tulionao wengi wao mi wanafiki wanajifanya kuwapenda wanachi wakati wa kura tu wakishapata wanawageuzia mgongo. Hakoka ngozi nueusi hatupendani Kama alivuosema rais was marekani.
 
Na Ngeli yao kama ya Ndalich....



dodge
Yule binti aliyemgalagaza Dk wa degree nne mahakamani alisoma Kayumba lakini sio hizo englishi skuli...
Hata waingereza wanaongea hiyo lugha lakini darasani ovyo tu
 
Hapa inadhibitisha wanapenda shule nzuri. Ila cha kushangaza sera zao mbovu shule za serikali ambazo watoto wa wapiga kura wao ndo wanasoma ni majanga.
Ni zaidi ya Majanga
 
Back
Top Bottom