Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Daah sipati picha sodoma na ghomorrah janga lake Yan Moto unatoka juu kuja chini...
Tuchimbe mahandaki wakuu[emoji120]
Tunasubiria tetemeko la nchi kwanza!
Kabisa
 
Lol shida ya kuzaa zaa ovyo iyo yaan mama na watoto wake hawaeleweki mama mkristo aliolewa ndoa ya kanisani haikutoshaa akaaenda kuzaa na muislamu yaan kuranda randa huku kulee ndio matokeo yake hayooo

Na siku izi kuna shida moja unakuta mdada ana kwambia yy anataka aolewe na handsome boy hajachunguza family history kumbe ktk koo huko una kuta alikuwepo ki shoga eo kizazi kina risishwa pole pole
 
Kuna uhusiano gani kati ya kutooa na ushoga?

Mshana Jr
Ndoa ni tokeo ya mahusiano ya watu wawili mwanaume na mwanamke waliopendana kimapenzi na kuamua kuishi kama mume na mke ili kuanzisha familia
Kwenye kundi la wakataa ndoa ndani yake kuna mashoga japo pia wapo mashoga wenye ndoa kamili
 
Kuoa au kutoa ni uamuzi wa mtu.

Na mtu anaweza akawa hajaoa lakini anakuwa na mademu anawachakata na tunao wengi wa aina hiyo kwenye jamii zetu.

Kwa hiyo kuhusianisha kutooa na ushoga naona haiko sawa. Kuna wanaume wengi hawajaoa je, tuseme ni mashoga
 
Tena kauli mbiu yao ni " support don't punish".

Na Wana centre yao bagamoyo.
 
najaribu kufikiria mimi kama mzazi wa mtoto wa kiume na vile nampenda mno mwanangu , mateseka na kujibana ili waje kuwa na future nzuri , halaf pap kageuka shoga ah sielewi ntatenda zambi ipi ,, ee mwenyezi MUNGU tuepushie hii laana kizazi changu chote
 
Hakuna Msanii wa Bongo ambaye ni Role model wa Mwanangu

Hao wa Kataa ndoa wana hoja zipi za kupinga Ndoa?
 
Hakuna ushoga wa kurithi acha kudanganya watu.
 
Dah very sad, jana kuna single mama alikua anamwadhibu mwanae wakiume wa darasa la pili ila tayari kameshaanza hiyo michezo ya kuingiliwa, nilijiskia vibaya sana mpaka sasa najiuliza hivi tunaelekea wapi sipati jibu.
Hali ni mbaya sana, hii kasi sio ya kawaida
 
Sio sahihi kusema kila asiyeoa ni shoga. Nadhani pengine sikueleweka nilipowapinga wale wenye kampeni yao ya kataa ndoa
 
Unajua watu wa humu mnanichekesha sana. Yani mnahisi labda wazazi wakikemea sijui malezi yawe bora sijui tuzuie wazungu ndo ushoga utaisha. La hasha kuna vitu wewe fumba macho achana na kuwaza mtu mzima mwingine anatumia vipi viungo vyake..
 
Walio na familia wanaelewa kwa undani hili jambo, ndio maana nimesisitiza sana wazazi wotwme wawili kuwa karibu na watoto wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…