Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Monalisa ndio nani?
Mkuu ni huyo kushoto
download.jpg
 
Nchi za ulaya na marekani, ambako ndiko kuna Wakristo wengi, ndiko ushoga uko juu, na ukishabikiwa wazi wazi na serikali.
Elton John, na mumewe hualikwa kwenye sherehe za kitaifa, siyo kwa sababu ya umaarufu John, kwenye mziki la hasha bali ni ushoga wake.

Huko kuna vilabu vingi vya mashoga, vinavyotambukika na serikali zao, na serikali hukusanya ushuru wa mavi.

Nchi za kiislamu misimamo yao iko wazi, jinsi wanavyopambana na ushoga, ila Ukiingiza udini Wakristo hupenda kujiona wasafi sana, Wakati bibilia halina neno linalolaani ushoga.
Umeanza vizuri lakini huku mwisho umehara komredi. Sio kweli kitabu cha wenzetu hakijapinga ushoga... kwenye makosa ambayo hayana discussion "kufira na kufirwa" ni moto moja kwa moja..., tena kwa vitabu vyote! Ungepekua kwanza. Hapo nawatetea ni uzwazwa wao tu na ujeuri. Ila dunia ya sasa hatuchekani... Dini zote zina waumini wenye kasumba. Hata Uarabuni kuna mambo ya ajabu sana! Usisikie 😢😢🤦🏾‍♂️🙌🏾
 
Tunaishi nao kwa mifano halisi kabisa
Hata humu wapo waliolelewa na mzazi mmoja ambaye alisimama imara kwenye malezi, watoto wakanyooka na maisha yakawendea vyema na hawakuangukia kwenye hii Laana ya Ushoga na Usagaji. Ni uzwazwa na makundi pamoja na malezi ya hovyo ya baadhi ya wazazi. Ndugu nao huchangia. Wazazi tuangalieni sana ndugu na ukaribu na watoto wenu/wetu
 
Familia ikishapungukiwa na mzazi mmoja ni sawa na mwili kukosa mojawapo ya viungo mwilini... Ni kama ulemavu hivi .. Sasa hapo mzazi aliyebaki asiposimama kidete watoto kuyumba ni rahisi sana
 
Kweli kabisa familia ni muhimu sana, hii kampeni ya kataa ndoa ni threat kwa familia
Bro bwana. Yaani kampeni ya vijana wanaojificha na fake ID waliolelewa na single mothers au waliotoka kwenye familia zenye migogoro na manyanyaso kwa mzazi Mmoja ndio itishie familia taasisi iliyobora na kuanzishwa na Mungu mwenyewe? Huku mitaani hutujui hiyo kampeni na Kila siku watu wanaoa na kuolewa toka enzi za Nuhu. Yaani kijana mmoja anayepumuliwa kisogoni aliyekuwa frustrated na malezi na ugumu wa maisha anikataze nisimuoe mama Manka wangu? Aiseeeee
 
Familia ikishapungukiwa na mzazi mmoja ni sawa na mwili kukosa mojawapo ya viungo mwilini... Ni kama ulemavu hivi .. Sasa hapo mzazi aliyebaki asiposimama kidete watoto kuyumba ni rahisi sana
Wa mama na WA zee wa zamani walikuwa wanaweza simamia watoto wao hata kama Mmoja wao hayupo ila sio haya mapuuzi akina Mama na Baba Junior. Eti mtoto wa kiume analelewa kama Yai. Mtoto wa kiume analelewa kiugumu. Mtoto wa kiume analelewa kimafia. Mtoto wa kiume anaandaliwa kuwa mwanaume na uanaume una gharama na sio kuvinyoa viduku na kuvaa visuruali vinavyobanana kudekezwa.
 
Back
Top Bottom