Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Familia ikishapungukiwa na mzazi mmoja ni sawa na mwili kukosa mojawapo ya viungo mwilini... Ni kama ulemavu hivi .. Sasa hapo mzazi aliyebaki asiposimama kidete watoto kuyumba ni rahisi sana
Ila Mungu nisamehe kama yanayozungumzwa mitaani ni ya kweli kuhusu Mona na waume za watu,na kama si kosa la kiundishi kwa kijana wake inabidi tutafakari sana mienendo yetu na machumo tunayolisha vizazi vyetu
 
Bro bwana. Yaani kampeni ya vijana wanaojificha na fake ID waliolelewa na single mothers au waliotoka kwenye familia zenye migogoro na manyanyaso kwa mzazi Mmoja ndio itishie familia taasisi iliyobora na kuanzishwa na Mungu mwenyewe? Huku mitaani hutujui hiyo kampeni na Kila siku watu wanaoa na kuolewa toka enzi za Nuhu. Yaani kijana mmoja anayepumuliwa kisogoni aliyekuwa frustrated na malezi na ugumu wa maisha anikataze nisimuoe mama Manka wangu? Aiseeeee
Kwa karne hii mitandao sio ya kubeza, hizi fake Id ni watu mtaani tena wenye nguvu. Chukulia mfano wa habari ya huyo mtoto wa monalisa ilivyoenea haraka mitandaoni, sidhani kama hiyo habari ingekuwa kwenye gazeti ingeshasambaa kwa kiasi kikubwa. Hii ndio nguvu ya mitandao, hao kataa ndoa taratibu wanastawi kama ilivyokua kwa ushoga, ulianza taratibu ila umeanza kushika kasi mitaani ni kitu kibaya mno. Kwa tafiti yangu ndogo mtaani napoishi, hii kauli ya sioi ipo nimeshaisikia kwa baadhi ya vijana huko vijiweni na mabanda ya mpira kwahiyo inakua taratibu, wengi tunadhani inaishia huku huku lakini uhalisia upo mitaani tunapoishi.
 
Huyu bibi na watu wake wote wapo kimya hakuna mwenye meno wa kutoka na kukemea kama Museveni wa Uganda, ni kama kuna kitu wana ogopa, wasanii wa hapa bongo wengi wao ndio wahama sishaji wakubwa ukianzia pale kwa w.c.b wame jivika ubalozi wa "kisamvu cha kopo" na wenye mamlaka wame ziba masikio yao na macho hawajali,

hao mashetani wanapaswa kukatwa vichwa hadharani washenzi kabisa hao
 
Kwa karne hii mitandao sio ya kubeza, hizi fake Id ni watu mtaani tena wenye nguvu. Chukulia mfano wa habari ya huyo mtoto wa monalisa ilivyoenea haraka mitandaoni, sidhani kama hiyo habari ingekuwa kwenye gazeti ingeshasambaa kwa kiasi kikubwa. Hii ndio nguvu ya mitandao, hao kataa ndoa taratibu wanastawi kama ilivyokua kwa ushoga, ulianza taratibu ila umeanza kushika kasi mitaani ni kitu kibaya mno. Kwa tafiti yangu ndogo mtaani napoishi, hii kauli ya sioi ipo nimeshaisikia kwa baadhi ya vijana huko vijiweni na mabanda ya mpira kwahiyo inakua taratibu, wengi tunadhani inaishia huku huku lakini uhalisia upo mitaani tunapoishi.
Sijasoma comment yako yote maana nimeiona ni upuuzi ila huku kwetu tunaoa kama kawaida na hata Jumamosi tumekula ubwabwa kanisani.
 
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu.. Kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume .. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa.. Kizazi kijacho kiko mashakani

Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani, kuna hatari kubwa sana kupotosha na kupoteza wengi kama msanii ama mtu maarufuvakiongea kitu

Hapo mwanzo tulizoea vijana barobaro wakijitangaza mitandaoni kuwa wao ni mashoga..haikuwa mbaya sana kwakuwa hawakujulikana na wengi.. Leo hii anjitokeza kijana wa kiume wa msanii maarufu anajitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ana anajivunia (ushoga[emoji24]). Huyu ana followers wangapi Yarab toba!

Kipenga cha kujitangaza live kimepulizwa rasmi Tanzania, viongozi wanapiga kimya kama hawaoni.. Tunapoteza kizazi kijacho.

Ushoga umetamalaki nchini lakini mamlaka hazina nguvu hata chembe ya kukemea.. Madhara ya kukubali mikopo na misaada yenye masharti kificho

Lifestyle wanayowalea na kuwakuza watoto wao hawa tunaowaita wasanii maarufu Tanzania ni janga kubwa.. Hafundishwi kuwa wanaume kamili hawafundishwi ukakamavu.. Wanalelewa kuwa wanaume wa kike ama wanawake wa kiume... Wengi wakilelewa na mzazi mmoja.

Hakuna wa kukemea.. Zaidi ya sisi wapiga kelele mitandaoni. Tuhamasishane sisi wazazi wa huku kuwalinda vijana wetu, tuongee nao tuwe nao karibu tuwachunguze kwa karibu mienendo yao, marafiki zao nknk

Tunataka nasi tuache mbegu itakayomea na kuendeleza kizazi.. Tupunguze harakati za kimaisha tutenge muda wa kutosha kuwa na vijana wetu... Hali ni mbaya sana.

Kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya kishenzi, isipewe nafasi haina malengo mazuri kwa maisha ya kesho na wengi wameivamia kwa ujuaji tu wa kitoto. Hawajui matokeo yake!

Madhara ya hii kampeni ikiachwa imee yataonekana soon.. Huko mavyuoni hali ya ushoga na usagaji ni mbaya sana huko kwenye mitandao ya kijamii ndio usiseme.

Kijana anamaliza chuo ni msagaji, kijana anamaliza chuo ni shoga! Kuna familia tena hapo? Kuna ndoa tena hapo? Kuna future tena hapo?

Kama mtoto wa Monalisa kajitangaza akamewe wazi na awe ni wa mwisho. Hili likiachwa janga kubwa linakuja. Zamani tuhuma za aibu za ushoga zilikuwa maeneo ya mwambao .. Siku hizi mpaka chuga ni kama fasheni

Inauma sana!
Hizi ngonjera zinachusha, umeshindwa kukemea watu kama cocastic hapa JF wanaosifia kuliwa na madume wenzao au Culture Me anayekoboa wenzake, unaanza na watu ambao hawapo JF. Wakati mwingine tufiche unafiki wetu
 
Sijasoma comment yako yote maana nimeiona ni upuuzi ila huku kwetu tunaoa kama kawaida na hata Jumamosi tumekula ubwabwa kanisani.
Hiyo habari ya kuoa na kula ubwabwa haiusiani, kampeni ya kataa ndoa haizuii watu kuoa mkuu.
Usiendelee kujibu upuuzi wangu
 
Pumbavu zao, tumelalamikia sana haya malezi ya kina mama kulea watoto peke yao bila baba si vizuri. Unakuta jitu linajiona lina uwezo wa kifedha kutunza watoto peke yake halitaki kuishi na mwanaume. Madhara yake matoto ya kiume yanakua hayajui ubaba, ya kike nayo yanakua hayaoni umuhimu wa kuishi pamoja na mwanaume. Mitindo ya maisha ya mastaa wa kike kuishi bila ndoa huku wanapata watoto bila kuishi pamoja na baba wa hao watoto ndiyo haya
 
Nchi za ulaya na marekani, ambako ndiko kuna Wakristo wengi, ndiko ushoga uko juu, na ukishabikiwa wazi wazi na serikali.
Elton John, na mumewe hualikwa kwenye sherehe za kitaifa, siyo kwa sababu ya umaarufu John, kwenye mziki la hasha bali ni ushoga wake.

Huko kuna vilabu vingi vya mashoga, vinavyotambukika na serikali zao, na serikali hukusanya ushuru wa mavi.

Nchi za kiislamu misimamo yao iko wazi, jinsi wanavyopambana na ushoga, ila Ukiingiza udini Wakristo hupenda kujiona wasafi sana, Wakati bibilia halina neno linalolaani ushoga.
Ulaya na Marekani kuna watu wenye majina ya Kikristo. Tofautisha Ukristo na Majina ya Kikristo. Biblia imesema wazi WAFIRAJI HAWATAURITHI UFALME WA MBINGUNI. Haijasema ni SUNNAH. Yaani imeshawahukumu bila hata kuwasikiliza na kuwapa nafasi ya kujitetea.

Tofauti ya Wazungu na Waarabu ni kuwa Wazungu wao wamekuwa Open. Waarabu wanafanya huku wakipinga. Ushoga Africa au East Africa. Ulikomaa sana Mombasa, Lamu, Tanga, Zanzibar na Dar.

Ndo maana kuna utani mwingi kuhusiana na Mombasa na Tanga na mambo ya Ushoga. Katika ukristo mtu anaweza anzisha Kanisa akajiita Padre au Mchungaji n.k asibughudhiwe sababu watu wanaamini Ukiifahamu kweli itakuweka huru. So huna haja ya kuhangaika na anayepotosha au jipotosha mwenyewe.
 
Daah sipati picha sodoma na ghomorrah janga lake Yan Moto unatoka juu kuja chini...
Tuchimbe mahandaki wakuu[emoji120]
Tunasubiria tetemeko la nchi kwanza!
Ah we kizazi ichi bado sana kuwafikia hao jamaa wa zaman,walikua wana dhambi mamaee nyingi,wahun wakataka kumla malaika
 
Enzi zetu ndoa ilikuwa lazima, haikujali wanandoa wana hali gani kiuchumi. Utake usitake utaoa tu, kama ni mwanamke utaolewa tu, ilikuwa ni jambo la ajabu kukuta mtu mzima anaishi peke yake bila mume/mke jamii haitakuelewa labda uwe mwendawazimu. Jamii ya enzi zetu zilithamini ndoa sana, huwezi kuingia kanisani una umri mzuri wa kuoa/kuolewa halafu jamii hiyo ikuache tu bila kukuulizauliza utaoa/kuolewa lini?. Pia vijana waliandaliwa kuingia na kuishi maisha safi ya ndoa. Ndoa za enzi zetu hazikujali mna fedha au mali, zilipatikana ndani ya safari ya maisha ya ndoa. Enzi zetu ndoa iliheshimiwa na watu wote tofauti na ushenzi wa siku hizi ulioibuka
 
Sina uhakika na unachoongea
Wasanii wenu na mashg ni Pete na kidole

Ova
Screenshot_20230227_214504_Chrome.jpg
 
Daaah this s very Sad! inasikitisha,huyu mtoto Ni mdogo Sana sidhani hata Kama 16 kafika, nilikutana nae kwenye Panton na kundi la watoto wenzie ma half cast wa kiarabu wamevaa uniform I think za Shaban Robert,nadhani jamii inayomzunguka imechangia haya
 
Back
Top Bottom