Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Kama una familia una kila kitu bila kujali ufukara wako
 
Unajua watu wa humu mnanichekesha sana. Yani mnahisi labda wazazi wakikemea sijui malezi yawe bora sijui tuzuie wazungu ndo ushoga utaisha. La hasha kuna vitu wewe fumba macho achana na kuwaza mtu mzima mwingine anatumia vipi viungo vyake..
wewe haupo sawa, ni haki yetu kuwaza na watu wenye mawazo kama mnahitajika kuchomwa moto
 
mkuu mnanichekesha sana mtu alelewe kimayai au kibabe haibadilishi kitu,. turudi kwenye historia ya dunia kidogo. miaka kama 800BC kulikua na watu wanaitwa Spartans yani ilikua ni jamii ya vita na watoto wa kiume walilelewa kijeshi lakini wao jamii yao ilijaa ushoga kupitiliza. sasa kama kulelewa kigumu na kiuanaume kunazuia ushoga mbona facts zinapingana
 
Chakustaajabisha zaidi ni kwamba,

Id hizi hizi zinazokemea ushoga kwa nguvu zote ndiyo Id zilezile zinazohamasishana kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile kule kwenye uzi wao wa picha za warembo!!
 
Baada ya kunyanduana hao watoto wanalelewa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…