Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Wasomee na waelewee yanayo fanyikaa huku uraiani.
Sio kufanya unafiki kwenye Keyboard. Lol
 
Kuna haki za binadamu toka kwa mabwana wakubwa, tunaweza kunyimwa misaada [emoji35]
Kumbe mnajua eeeeeh??? Sasa mnajisumbua nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa hadi baas.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman khaaaaah
 
Mbna hakufanywa chochote, tena alipotoka ndo kazidi kushaukwa wazi wazi.

Ushoga ni case ingne, muulize Makonda atakupa habari yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee Dr ni muongo sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anae wadanganyaa kuwa mwanaume mgumu hawezi kuwa shoga n nan? Mbna mabaunsa wanaliwa vyediii tyuuh??

Muwe mnatumia logic ktk mambo yenu. Woiiiiiih
Nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako na hizo Roho unazojitahidi kuzipandikiza zishindwe. Nilikuona kwenye zile picha zako ila nakufahamu spiritually. Unaamini ugumu ni kupiga vyuma na ubaunsa!!!! Uanaume sio Mwili Wala ubaunsa wenu wa kisasa wa kuinua vyuma. Uanaume ni mtazamo, uanaume ni ujasili, uanaume ni misimamo. Uanaume unajengwa na kutengenezwa na sio kuzaliwa nao. Simba dume anashinda na mtoto dume ili amjengee uwezo na mtazamo wa kiushindi na ndio maana zamani mwanaume ukijikwaa unaambiwa mwanaume halii wala haumii. Uanaume ni ujasili na sio
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah
 
Kuna lishoga humu ni limaarufu na linajitangaza kabisa ila mod wameliacha yani ukisoma mwandiko wake harufu ya mavi hii hapa, walipe life ban
Hebu mtaje tumjue jaman, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna wengine hatumfahamu.
 
Chakustaajabisha zaidi ni kwamba,

Id hizi hizi zinazokemea ushoga kwa nguvu zote ndiyo Id zilezile zinazohamasishana kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile kule kwenye uzi wao wa picha za warembo!!
Unafiki umewajaa wabongoooo, utawaweza sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo habari ya kuoa na kula ubwabwa haiusiani, kampeni ya kataa ndoa haizuii watu kuoa mkuu.
Usiendelee kujibu upuuzi wangu
Very low IQ dogo. Sasa inahusu Nini hiyo kataa ndoa? Vitoto vya 2000's bwana. Yaani unakula Bure alafu uje utuambie watu wazima tusioe kisa wewe unapumuliwa?πŸ˜πŸ˜¬πŸ˜„πŸ˜†πŸ₯΄πŸ˜œπŸ₯ΊπŸ˜”πŸ₯΄πŸ˜†
 
Kwa niaba ya mwenyekiti wa taasisi ya KATAA NDOA tunatoa onyo la mwisho likiambatana n'a karipio kali dhidi ya anaefahamika kama Mshana Jr .Ifahamike KATAA NDOA haijihusishi kwa namna yeyote na ushoga na nikinyume cha misimamo ya taasisi yetu na tunaunga mkono upingaji wa ushoga na viashiria vyake .Kuhusisha ushoga na motto wetu "KATAA NDOA " si tu kumetukosea heshima wanachama hai bali kumeweka dosari kwenye misingi ya utaifa wetu wa kuvumiliana .KATAA NDOA ni msimamo wa kutoingia mkataba wa kudumu kimahusiano ila hii haimaanishi wajumbe hawana mahusiano na wanawake suala ni kutowaoa tuu .aidha msimamo wetu ni mkali zaidi kwa single mothers hao tunakoelekea tutakuja na msimamo hata wa kutotembea nao.
Imetolewa
27.02.2023
THE ONLY,
Katibu tawi la kawe,
KATAA NDOA.
 
Very low IQ dogo. Sasa inahusu Nini hiyo kataa ndoa? Vitoto vya 2000's bwana. Yaani unakula Bure alafu uje utuambie watu wazima tusioe kisa wewe unapumuliwa?πŸ˜πŸ˜¬πŸ˜„πŸ˜†πŸ₯΄πŸ˜œπŸ₯ΊπŸ˜”πŸ₯΄πŸ˜†
Jiheshimu mkuu sipo hapa kumvunjia heshima yeyote. Uo ni utoto sina haja ya kukuaminisha ni mkubwa/mdogo kiasi gani.
 
Hawawezi akati wapingaji wakuu wao ndo wanao wala mashogaaa, ni unafiki na wana jistukiaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watafutwee mabashaa mbna watu watatafuta pa kukimbilia, uwiiiiiih
Tukiamua kupambana na mashoga tupambane na wanaowafanya hivyo kwa sababu mtu hajifiri kuna anaemfira, bila ya hivyo haitosaidia chochote. Kila mtu atajifanya kukemea lakini tunayoyafanya nyuma ya milango yetu tunajua wenyewe!!
 
Hizi ngonjera zinachusha, umeshindwa kukemea watu kama cocastic hapa JF wanaosifia kuliwa na madume wenzao au Culture Me anayekoboa wenzake, unaanza na watu ambao hawapo JF. Wakati mwingine tufiche unafiki wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie maarufu?? Mwenzio anazungumzia watu maarufu. By the way hakuna wa kukemea vile mie nataka kuwa.

Hata kwa huyo mtoto wa Mona, atabadilisha nn? Ameondoa caption ya kuweka wazi uhalisia wake, ila kuinamushwa atainamishwa tyuuh, kwamba ndo inakuaje??

USHOGA ni suala pana sana, mnapoteza nguvu zenu bureee, huo mda mngekua mnafanya mambo yenu ya msingi. Lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…