Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Unadhani hiyo inatosha, inaweza kusaidia yes ila ni kwa sehemu ndogo sana.

Ngoja nikupe hiki kisa...
Namfahamu ndugu mmoja, amezaliwa na kukulia kwenye familia very strict. Mama wakikurya hakutoa uhuru wowote kwa watoto, baba wakikurya hakudekeza mtoto yeyote.

Mlengwa ninayemzungumzia alisoma day until Advance level TUSIIME.

Kufupisha story, huyu kijana ni shoga wa kutupwa. Ananunua vijana wa chuo anawalipa kwa kazi moja tuu.

Mimi nimekaanae ofisini akiwa superior wangu, aisee nyie acheni tuu..
Alijitahidi ila mwisho wa siku aliniweka wazi tuu kua yeye ni wa vipi. Alimpangia nyumba kijana mmoja wa chuo, akamfungulia duka, na bado kila wiki anamtumia hela ya kula mpaka hela ya gym. Ofisi ilikua wilayani, so ikifika ijumaa jamaa huyoo. Kurudi ofisini ni jumatatu asubuhi.
Wasomee na waelewee yanayo fanyikaa huku uraiani.
Sio kufanya unafiki kwenye Keyboard. Lol
 
Kuna haki za binadamu toka kwa mabwana wakubwa, tunaweza kunyimwa misaada [emoji35]
Kumbe mnajua eeeeeh??? Sasa mnajisumbua nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa hadi baas.
 
Wala halikuwa Lengo langu kukosoa hoja ya mleta hoja, ni kweli jamii yetu ipo kwenye tatizo kubwa kuhusu hatma ya watoto wetu dhidi ya hili wimbi kubwa la vitendo vya ushoga vinavyozidi kuongezeka

Mkuu kama umekuwa mfatiliaji wa mijadala humu basi utagundua kuna watu members wanajitangaza waziwazi ni wapenzi wa jinsia moja, na ukijaribu kuwajibu watakushambulia kwa maneno makali sana.

Sijawahi kuona mleta mada akiwakaripia hawa members wa humu jf zaidi tu huwa wanaitana na kutaniana binamu na hao ma hayawani, Sasa huu si ni unafiki?
Sasa kama mashoga wa humu ni marafiki zake huo ujasirisi wa kuupinga ushoga anautolea wapi?

Pia hii kuuzungumzia ushoga Kila wakati ndio kuusambaza kwenyewe. Binadamu ameumbwa na curiosity, Ile unavomwambia ushoga ni mbaya ndivyo atataka ajue ubaya wake hivyo atajaribu..

Ona tu huyu mtoto wa Monalisa alivyoongeza followers gafla baada ya iyo ishu ya yeye kujiita gay kufahamika. Imagine ni vijana wangapi watamuiga? Hizi habari zisingetangazwa nani angejua tabia yake?
Yaani tunaongeza mafirauni tukidhani tunatatua tatizo
Kwa mtazamo wangu haya mambo ni ya ku mute tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman khaaaaah
 
Kabisa Jambo likishaletwa JF maana yake Serikali(vyombo vya dola) italiona na pia litatrend hivyo wahusika wameona kinaweza kunuka wakaona ngoja waondoe fasta kwenye bio....Si mnakumbuka Delicious aliwekwa ndani kwa mamabo hayo hayo ya kujinadi Insta kwamba yeye ni "Lokole".
Mbna hakufanywa chochote, tena alipotoka ndo kazidi kushaukwa wazi wazi.

Ushoga ni case ingne, muulize Makonda atakupa habari yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Homosexuality kwa upande wa Wanawake ndo ipo juu zaidi Tanzania

Unatongoza anakuzingua kumbe Kuna mtu na mtu mwanamke

Unakua na mpenzi na yeye Ana mpenzi wake wa kike hasa yule best wake wa karibu kabsa Wana kiss wanafanya mambo yote

It's sad so far haya mambo yapo Muda mrefu, Atleast wangekua wanajificha bad thing they are propagating na kufanya hii issue ionekane normal na jamii which is stupidity

Homosexual people are the most frustrated people I know I am a doctor I can surely tell you this kwanza Wana high level ya substance abuse na pia Wana high level ya STDs
Morality compass Yao iko very low na thinking pattern Yao iko very feminine
SAD
Wee Dr ni muongo sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anae wadanganyaa kuwa mwanaume mgumu hawezi kuwa shoga n nan? Mbna mabaunsa wanaliwa vyediii tyuuh??

Muwe mnatumia logic ktk mambo yenu. Woiiiiiih
Nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako na hizo Roho unazojitahidi kuzipandikiza zishindwe. Nilikuona kwenye zile picha zako ila nakufahamu spiritually. Unaamini ugumu ni kupiga vyuma na ubaunsa!!!! Uanaume sio Mwili Wala ubaunsa wenu wa kisasa wa kuinua vyuma. Uanaume ni mtazamo, uanaume ni ujasili, uanaume ni misimamo. Uanaume unajengwa na kutengenezwa na sio kuzaliwa nao. Simba dume anashinda na mtoto dume ili amjengee uwezo na mtazamo wa kiushindi na ndio maana zamani mwanaume ukijikwaa unaambiwa mwanaume halii wala haumii. Uanaume ni ujasili na sio
 
Mkaushieni dogo.
Sema mtoto kalelewa kiaunt aunt sana.
Wananikera sana wanaolea watoto wao wa kiume kisenge hivi basi tu nakerekwa mno. Wanadhani ndiyo kumpenda mtoto kumbe unamharibu akikutana na matoto majeuri makenge akikemewa tu anainama wanampelekea ulimi wa kenge makalioni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah
 
Kuna lishoga humu ni limaarufu na linajitangaza kabisa ila mod wameliacha yani ukisoma mwandiko wake harufu ya mavi hii hapa, walipe life ban
Hebu mtaje tumjue jaman, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna wengine hatumfahamu.
 
Chakustaajabisha zaidi ni kwamba,

Id hizi hizi zinazokemea ushoga kwa nguvu zote ndiyo Id zilezile zinazohamasishana kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile kule kwenye uzi wao wa picha za warembo!!
Unafiki umewajaa wabongoooo, utawaweza sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo habari ya kuoa na kula ubwabwa haiusiani, kampeni ya kataa ndoa haizuii watu kuoa mkuu.
Usiendelee kujibu upuuzi wangu
Very low IQ dogo. Sasa inahusu Nini hiyo kataa ndoa? Vitoto vya 2000's bwana. Yaani unakula Bure alafu uje utuambie watu wazima tusioe kisa wewe unapumuliwa?😁😬😄😆🥴😜🥺😔🥴😆
 
Kwa niaba ya mwenyekiti wa taasisi ya KATAA NDOA tunatoa onyo la mwisho likiambatana n'a karipio kali dhidi ya anaefahamika kama Mshana Jr .Ifahamike KATAA NDOA haijihusishi kwa namna yeyote na ushoga na nikinyume cha misimamo ya taasisi yetu na tunaunga mkono upingaji wa ushoga na viashiria vyake .Kuhusisha ushoga na motto wetu "KATAA NDOA " si tu kumetukosea heshima wanachama hai bali kumeweka dosari kwenye misingi ya utaifa wetu wa kuvumiliana .KATAA NDOA ni msimamo wa kutoingia mkataba wa kudumu kimahusiano ila hii haimaanishi wajumbe hawana mahusiano na wanawake suala ni kutowaoa tuu .aidha msimamo wetu ni mkali zaidi kwa single mothers hao tunakoelekea tutakuja na msimamo hata wa kutotembea nao.
Imetolewa
27.02.2023
THE ONLY,
Katibu tawi la kawe,
KATAA NDOA.
 
Very low IQ dogo. Sasa inahusu Nini hiyo kataa ndoa? Vitoto vya 2000's bwana. Yaani unakula Bure alafu uje utuambie watu wazima tusioe kisa wewe unapumuliwa?😁😬😄😆🥴😜🥺😔🥴😆
Jiheshimu mkuu sipo hapa kumvunjia heshima yeyote. Uo ni utoto sina haja ya kukuaminisha ni mkubwa/mdogo kiasi gani.
 
Hawawezi akati wapingaji wakuu wao ndo wanao wala mashogaaa, ni unafiki na wana jistukiaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watafutwee mabashaa mbna watu watatafuta pa kukimbilia, uwiiiiiih
Tukiamua kupambana na mashoga tupambane na wanaowafanya hivyo kwa sababu mtu hajifiri kuna anaemfira, bila ya hivyo haitosaidia chochote. Kila mtu atajifanya kukemea lakini tunayoyafanya nyuma ya milango yetu tunajua wenyewe!!
 
Hizi ngonjera zinachusha, umeshindwa kukemea watu kama cocastic hapa JF wanaosifia kuliwa na madume wenzao au Culture Me anayekoboa wenzake, unaanza na watu ambao hawapo JF. Wakati mwingine tufiche unafiki wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie maarufu?? Mwenzio anazungumzia watu maarufu. By the way hakuna wa kukemea vile mie nataka kuwa.

Hata kwa huyo mtoto wa Mona, atabadilisha nn? Ameondoa caption ya kuweka wazi uhalisia wake, ila kuinamushwa atainamishwa tyuuh, kwamba ndo inakuaje??

USHOGA ni suala pana sana, mnapoteza nguvu zenu bureee, huo mda mngekua mnafanya mambo yenu ya msingi. Lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom