cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wasomee na waelewee yanayo fanyikaa huku uraiani.Unadhani hiyo inatosha, inaweza kusaidia yes ila ni kwa sehemu ndogo sana.
Ngoja nikupe hiki kisa...
Namfahamu ndugu mmoja, amezaliwa na kukulia kwenye familia very strict. Mama wakikurya hakutoa uhuru wowote kwa watoto, baba wakikurya hakudekeza mtoto yeyote.
Mlengwa ninayemzungumzia alisoma day until Advance level TUSIIME.
Kufupisha story, huyu kijana ni shoga wa kutupwa. Ananunua vijana wa chuo anawalipa kwa kazi moja tuu.
Mimi nimekaanae ofisini akiwa superior wangu, aisee nyie acheni tuu..
Alijitahidi ila mwisho wa siku aliniweka wazi tuu kua yeye ni wa vipi. Alimpangia nyumba kijana mmoja wa chuo, akamfungulia duka, na bado kila wiki anamtumia hela ya kula mpaka hela ya gym. Ofisi ilikua wilayani, so ikifika ijumaa jamaa huyoo. Kurudi ofisini ni jumatatu asubuhi.
Sio kufanya unafiki kwenye Keyboard. Lol