Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Hao wacha wawe tu, maana hakuna msanii mwenye fundisho kwa jamii.
Wengi wanaimba ujinga
... kama domo ndio hovyo kabisa; maadili sifuri. Na wajinga wajinga wanatamani kuwa kama yeye mtu ambaye hana la maana la jamii kujivunia kuanzia maudhui ya mashairi yake hadi life style ya kimalaya malaya!
 
Ungetupia na hako kaphoto kaongeze ladha ya uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…