Watoto wadogo ndani ya hijab

kuna siku nilikuta mama mmoja kavaa kininja,,,yamebaki macho tu kama m2 anaechungulia noma huku mtoto aliyebebwa amevalishwa kama huyu mtoto wa kwenye picha,,yaani maskio yamebanwa sijui ata mama yake akimwita asikia!!???
 
Hijabu mashuleni aliruhusu mkapa baada ya colabo ya kitwana kondoo na profesa kapuya akiwa wizara ya elimu,hijab wanavaa waislam,joto unasikia wewe,acha chuki mbuzi wewe
 
kuna siku nilikuta mama mmoja kavaa kininja,,,yamebaki macho tu kama m2 anaechungulia noma huku mtoto aliyebebwa amevalishwa kama huyu mtoto wa kwenye picha,,yaani maskio yamebanwa sijui ata mama yake akimwita asikia!!???
Wamevaa wengine,we moyo unakuenda mbio
 
Unataka waanze kuvaa ukubwani!?..unajua 'samaki mkunje angalia mbichi' Ina maana gani?!..halafu wavaaji wengine, matatizo unapata wewe
 
Duuuu🙈🙈
 
Wewe mpumbavu tu
Mwenye mtoto wake amekuruhusu kumuanika mtoto wake?

Bongo tuna uhuru sana yaani mtu anakupost bila idhini yako.
! Kwani Kuna aliyemlazimisha Binti yako au mke wako kuvaa hijabu. Au unapiga kelele shoga tu hata mke huna ila unalalamika wakati umeolewa na wanaume wenzako?! Wewe pilipili ziko shamba zakuwashia nini?! Angalia maisha yako mambo ya dini waachie wenye dini zao. Umeelewa wewe shoga??!!
 
Wewe ni shoga tu
 
Wewe kichaa uliyekuwa brainwashed na waliberali wa kimagharibi utatufundisha nini sisi Waislam wewe? Hebu toa upumbavu wako hapa.

Na maoni yako hayana uzito wowote kwetu. So kafie mbele.

Mwenzio anakujibu kistaarabu, wewe unaleta ufedhuli.

Mtu kama wewe utatuambia nini tukakuelewa na umejaa ukichaa kama huu

 
Acha bangi, usipangie watu maisha we boya.
 

Kuna tabia hapa Jf ya watu kuropoka ropoka tu chochote kinachowajia kichwani. Hawa watu wananiudhi sana. Yaani anaropoka na anausemea Uislam anavyotaka yeye kama vile hii Dini ni matamanio ya nafsi yake na hapo yeye sio muislam wala hajui chochote.

Allah akulipe kheri ndugu yangu.
 
Acha shobo za dini,chuki hujengwa taratibu,vurugu zenyewe huwezi,unapandwa na roho mtakatifu anakutuma kuchokoza Imani zingine
hayo sio mavazi ya dini tukufu ya kiisla,tatizo hamsomi unafikiri uislam ni kutengeneza sgda tu!!! hayo ni mavazi ya jadi ya jamii ya watu wa mashariki,kama ilivo kwa vaazi la PUSHKIN kwa wa2 wa AFGHANSTAN,,,,,MWENYENZI MUNGU anasema kwenye kitabu kitakatifu"na tukawapa mavazi meupe marefu ya kuasitiri wakati wa joto kali, vilevile wakati baridi, nawanawake watfunika vichwa vyao kwa vitambaa navazi marefu ya kusitiri miili yao" soma acha kukariri,,,,ona makalasinga wanavovaa ??? na ona vilemba vyao,je? hao makalasinga ni waislam???? si wana dini yao ya ajabu na wanaabudu masanamu!!!!!!!????,,ona wahindi wanavovaa wanawake wao kujifunika na wanaume wao wanavovaa makanzu je??? wahindi wale ni waislam????...hao wahindi si wana dini yao ya kihindu wakimwabudu mungu wao aitwaye KRISHNA!!!! kama hauwezi kusome kiarabu kanunue Q'RAN iiliyoandikwa kwa kiswahili na marehemu sheikh aliyekuwa sheikh mkuu wa mombasa!!!
 
Amiin akulipe mara 10 ndugu
 
1. Sijakutisha nimekuelekeza .
2. Kama unaquote baasi usizushe maneno uweke ushahidi wa yale unayoyaongea.
3. HII DINI SI YA BINADAMU WALA MALAIKA WALA MTUME WALA NABII YEYOTE HII DINI NI DINI YA ALLAH (the almighty) as long as umechagua kuwa muislamu basi umechagua kufuata amri na sheria za aliyekuumba.

Hivyo maoni yako hayatosaidia kitu mkuu waislamu huwa tunafuata dalili kutoka kwenye quran na sunna za mtume MAONI YAKO YATABAKI KUWA MAONI YAKO 🙂
 
Kama unahisi kuvaa hivyo ni ushamba na kwenda kanisani mapaja wazi ndio usasa basi una tatizo la afya ya akili.
 
Qur'an 33:59 tuwekee hapa tuone inasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…