Watoto wageni mnaoingia humu onyoo tambueni hili...

kuna nini tena kimetokea? Sijabadilisha tabia watu siku nyingi sana....hebu nipeni hiyo kazi
 
Hata kwenye kiganja hawajai mkuu!
 
stevoh mpaka sa hv mgeni wenu sijala nakunywa majuice tu chakula kiko wapi? mwambie mkeo marry Hunbig aandae bwana hata bila mboga sawa mi niondoke zangu.
 
Last edited by a moderator:
ukubwa wenu umeanzia umri gani? Si kila anaeingia leo ni mdogo ki umri!
 

Samahani stevoh lakini naomba kutafautiana nawe. Siyo swala la watoto au Utoto. Nathani nikosa kudai eti hili jukwa lina wenyewe. hapa ni mahala pa umaa,bora tuheshimiane jinsi tunavo jadili mada yeyote. Tukiwa vijana, maisha yetu kwa wingi yako kwa siku zijazo,tukipoteza muda kwa wakati huu basi nchi hii haiwezi endelea.Mutu akitoa ushauri kuendeleza hii nchi tusije tukawa na kumshambulia sana vile mumefanya leo. Sioni ujinga wowote hapo. Mimi nina huzuni kuona wazee ambawo hawataki kubadilika.Dunia inabadilika,tukitaka nchi isonge mbele lazima tuache zile tabia za uzembe na starehe. we have to work hard to build our country. Naomba Heshima na kuvumiliana katika mijadala hapa. Hamuna Mjinga wala mtoto humu. Wazee Dunia is not stagnant.
 
wanakera sana hawa utafikiri wametumwa kuvuruga kitu humu jf duuuh!pole yatakwisha maana umetitirika mpaka unatoka jasho ndugu yangu.,LOL
 

Ndio maana kuna majukwaa mengi sana humu JF.
Hata hayo ya kujadili maendeleo ya nchi yana mahali pake.

Kwa msisitizo . . . zingatia saana pale mtoa maada amewataka muelewe maana ya chitchat vizuri.
 
Ohooo, sasa msiwakasirikie jamani. Wanakuwa hawaelewi kuwa nyie mmeshayaotea maisha. Yeye akiwaza bundle ya sh 500 daily wakati wewe unawaza beach plot wanauza millioni 200 hawataki kushusha walau millioni 150 wanakuwa hawaelewi. Tuchukuliane kwa upendo, mbona easy? Waambie tu wakikua wataelewa. Pole kaka.
kuna watoto sijui mijitu mizima inataka kujua kwa nini tupo hewani muda wote akiingia humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…