Watoto wageni mnaoingia humu onyoo tambueni hili...

well ili usiende mbali nami ntakuwekea kitu hapo nairobery, nikijisikia hamu nakodi helikopta ya ndesamburo natia timu hapo kujilia vitu vyangu then najirudia zangu mwepesiiiii. Manake nawe kwa kunikamua huachagi hata nusu ya kijiko cha chai..khaaa!!
nimekubali, ila usijenisaliti kama masalia hubby! Mwahhhhh luv wangu, na kwenye white party mie nitavaa neti ya mbu kabisaaaaaa, sitaki upate taabu kuni-view!
 
Tena wape ilani ya chit chat stevoh

Watoto, vitoto, mijitu au vinyamkera ni majina ambayo munabandika wale hamukabaliani nao. La muhimu ni hili JF ni ya sisi zote, ni vyema mutangulie kukubali hayo.
Ningependa Kuuliza hivi, Ukimkuta baba muzazi amelala sebuleni uchi, utafanya nini?

Bila shaka najua utasema utatafuta cha kumfunika. Hapa Chit chat ni kama sitting room, watu wote wako hapa, vijibabu, watoto, mabibi na wengine. Naomba wale munajisikia eti JF ni yenu,eti hewa mumechafuliwa....mujadala bora una msingi na siyo ovyo, changia, lete maoni yako sio kuwa tusi wenye haukubaliani nao.
Nimemukuta baba uchi nikamfunika baba bado anateta sanaaaaaaaa.
kama ningemkuta baba uchi kwenye bedroom ninge ondoka humo haraka sana. Wengi ambawo wanashambulia na kushangilia matusi kwa wengine hapa uki angalia kwa undani utakuta ni wale wale unaowapata kwa jukwa la mapenzi na mahusiano.Wenyeji yaaani. Jameni huko ndo bedroom yenu, uchi wenu huko hatujali na hatutajaribu kuwafunika.
Maana mutu akiingia humo ako tayari kutongoza au kutongozwa, kugegeda na mengine yenye hamuna haja ya kutaja.Nyinyi ambawo ni wenyeji wa jukwa hilo,tafathadhali hapa chit chat ni pa wote , bedroom yenu ni huko mukitaka kwenda tanga, ""hapa tulienda bar", party za chupi nyeupe na kwingineko muendeleze maneno yenu ni sawa kabisa, bora tuu mutupe nafasi kuchangia hapa, ni haki yetu, sio kuchafua hewa. Humo unakuta Vijibabu, mabibi na mabinti ambawo wanakaa kupotea, lakini hiyo ndo raha yao na hiyo ni haki yao. However a country must have a conscience!!!!. Mimi nikimkuta babu anajivinjari na binti umri wangu sio vyema...lakini wacha ni waachie hayo hapo.

Lengo langu la kuandika hapa ni kwa wale wanajisikia JF ni yao. Naomba tafathali JF siyo yenu,bora tumejiunga tuna haki ya kuchangia mada yeyote bora tufanye hivo kwa heshima, bila matusi. Nikisema hivo sio kumaanisha nauunga mkono mwenye alianzisha ile mada ambaye imezua utata lakini, I may not agree with what you say, but as sure as hell i will defend you right to say so!! Na kama una maoni tofauti na yangu, tujadiliane hapa kwa njia ya heshima!!!!
 
Wach_francis mi nadhani kabla ya mtu kuja kukashifu wana chit chat ni bora asome nini maana ya jukwaa husika na nini kinatakiwa kiwe posted humo ndo maana kuna majukwaa mengi na kila mtu na interest ya jukwaa alipendalo..tatizo yani watu wanataka kila jukwaa kuwe na mada za maendeleo wakati kila jukwaa lina mada zake kama mtu hataki chitchat aende jukwaa limfaalo.kuhusu MMU hujajua maana halisi ya jukwaa lile watu wameweza kubadilika kupitia jukwaa lile kama unapita juu juu huwezi kujua nini kinaendelea,by the way karibu chit chat stress free zone
 

kha wewe huoni aibu mimi nimeandika robo mstari we umeniquote maparagrah yote hayo looo.
 

dah umenifurahisha chukua like yangu ya ka simu kwanza, yaka pc baadae si unajua tena
 
kha wewe huoni aibu mimi nimeandika robo mstari we umeniquote maparagrah yote hayo looo.

hahaaaaaa amu mwenzio ametitrika ili umuelewe we unazidi kumpa makavu live.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
basi hata nimesoma aliyoandika???
Me niliona ananizingua tu umzima d???

dah yaan hapo hujasoma je ungesoma nahisi ungemuweka utangani kabisa!!!sijambo wangu!!viupepo vinavyuma kwa mbali
 
Bora umeliona hlo mkuu! Yani watu wanaona kama ndo wameshafika humu! Hii JF wanataka kuifanya ya watu fulani!
Haiko hvyo!

Pole!
Yaani mtu aingie humu na kuanza kutudis hovyo hovyo alafu tumuangalie tu?
Hakunaga kitu kama hicho aisee!

Otherwise mtaendelea tu kusema kuna watu wanajimilikisha.
 
hata wasipojibu ujumbe umefika sawia,thanks!
 
Mrs The secretary bishanga,hapa umemaliza kila kitu.
I love you,mmmmmwwwwaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
nimekubali, ila usijenisaliti kama masalia hubby! Mwahhhhh luv wangu, na kwenye white party mie nitavaa neti ya mbu kabisaaaaaa, sitaki upate taabu kuni-view!

cacico acha kuntia mhemuko,kha!
 
Last edited by a moderator:
ndo mana wengine tunachungulia tu halafu haooooo!!!!
 

Ungekuwa wewe ndio mmiliki wa hii jf watu wasingekunywa maji anyway.. hayanihusu
 

Asante sana secretary,nimefurahia vile umechangia, lakini maneno ya MMU naomba kutokubaliana nawe,humo ingawa washirika wana haki kufurahia starehe zao, siyo tofauti na zile love and sex chatrooms za yahoo ambazo zilifungwa hivi majuzi.
Kila siku naona Amu,ziondaughter,paloma,cacico na wengine..ni kutongozana tuu! Hamuna cha kujifunza humo.waingereza husema flirting is fun...ndo hizo raha zao. wake, waume,wachumba na usherati wa hewa ndo naona huko.

Linalo nitia hofu kidogo tuu ni hizo party mumeanza eti mpaka chupi nyeupe..kwani nani anakagua, inamaana ipi? lengo la kwenda huko ni starehe, Pombe, na raha zenu kisha ni kukagua hizo chupi mumevaa!
Nikisema hivo najua kanao wengi wanatenda maovu zaidi lakini hawako humo MMU. Tofauti ni washirika wa MMU vitendo vyao ni hatharani. Picha zao tunazo, sio watoto wa jana, wana uzoefu.lakini kwa heshima hatuwezi weka hizo hapa!!!. La muhimu ni raha zao, ni haki yao ila wana aibisha nchi kiasi. Siwezi kamwe kuoa mwanamke anashiriki kwa mambo kama hayo ya mitoko ya MMU. Na sioni funzo ghani linapatikana humo.
By the way nitakuwepo kwenye White party, paparrazi yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…