Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mpaka baba H huwa ana nitania kwamba laiti angenikatia tamaa zamani asingenioa ilikuwa ni starehe mengine baadae ila kwa sasa mia kwangu kubwa sanaa.😂😂😂Hongera sana ila kwann waha sitaki kuamini umekuwa bahili kiasi icho😂😂
Daah mimi sijui hata nisemeje..ila wamenifanya niwe organised..yani nadhani unanielewa kuanzia chakula...utunzaji wa hela...n.kERoni
Ushimen
Grahams
binti kiziwi
Kalpana
Liverpool VPN 😄mje mtupe experience zenu baada ya kupata watoto
Kila la kheri MkuuThank you
Huwa namshukuruMungu kilawakat nimebarikiwa sana
Nyuma yako 😜Siti ya mbele kabisa
Natamani muendelezo jamn mbna nzuri hiv 😍mtoto wa kwanza nilijiona still mama's little princess, yan bado najiona mtoto hii ilichagizwa na kushikwa na uchungu kwa siku saba nakuja kujifungua mtoto sina kazi naye kabisa, ukweli sikuona mabadiliko hapo bado niko kwetu nakula uzazi ile kurud kwangu unaamka asubuh mtoto anakusubiri baba ake naye ilibidi nipambane nijione dah mbona kama mambo yamenibadilikia haraka sana nilitaman kurud kwetu sema nikajiambia sasa hii sndo faida ya kuolewa narudi kufanya nn tena nikakaza kizaazaa nikabeba mimbaingine fasta huku huyu first born ananyonya kilichonistua ni kutapika kwake napima imo ile siku nililia sana niliona kabisa ya kwanza niliponea tundu la sindano this time around nakwenda kufa, nikaanza kufikiria kuhusu yeye ataishije roho inaniuma naona ninemkatili mno kumwambia mama naona aibu ikabidi tuambizane na baba ake kwanza nikamuachishe dogo nyumban tuangalie hili jipya jingine ndio namwelezea mama, akasema muachishe nikaachisha mimba haikunisumbua hata kidogo baba yao Mungu ampe maisha marefu mtoto wa mama mkwe alikua benet yan akirud jion ananisaidia nilipoachia anahakikisha sikosi mahitaji muhimu, mpaka nikajifungua sasa huyu wa pili madaktar walikua wanaambizana mapigo ya moyo ya mtoto hayasikiki na nina odema plus plus nikawanajisemea rohon kama nakufa siwez zuia mwanangu tu ninayemuacha sina namna nikajifungua toto langu la kilo nne pt saba kawaida kabisa hakunisumbua kabisa lakini huyu ndio alinifanya nione hell nooo mimi n mtu mzima sasa, natakiwa kubehave kama mama, na ndipo nilibadili rasmi mtindo mzima wa maisha yangu, yani nilianza kiyachukulia maisha kwa ukaribu zaidi, nalea sasa vipacha vyangu vya nje maisha yanakwenda
Exactly wanawake pia wanachangia lkn nafikir ujionwa mtoto hushtua wazazi wote wawilNilipata kazi nikiwa kwenye 26 yenye mshahara wa kuanzia comma mbili, matumizi yangu yalikuwa rafu, nguo na viatu nanyooka dukani hata kiatu kiwe laki na nusu nabeba, mwaka naweza kubadili simu 5, kubadili magari, n.k. kiufupi sikuwa na dira.
Siku ya siku najuzwa umekuwa baba ila nilisita kuamini, ni baada ya mtoto kuzaliwa akiwa copy tumefanana pua hadi komwe ndipo nikajua sasa nimekuwa rasmi father.
Ni kama akili ilipigwa facrory reset, ni ile hali ya kujiona sasa umekuwa kichwa cha familia, nilianza kuwaza future, nilipunguza sana matumizi simu moja miaka miwili, kununua nguo nilijibana sana, chakula kuna muda narudi kula nyumbani, nilipunguza kwenda viwanja, n.k.
Kitu kinachofanya mwanaume abadilike zaidi baada ya kupata mtoto inategemea pia na uhusiano na mwanamke, kama hakuna mahusiano mazuri mwanaume anaweza asibadilike na hata kuongeza safari za bar, kushinda, nje, kutafuta mchepuko au mke wa pili, n.k,
haha ndio hivo niendeleeje unataka?Natamani muendelezo jamn mbna nzuri hiv 😍
Mtoto wangu wa kwanza nampata baada ya wiki 2 kumaliza mtihani wa form 6, nilitia ujauzito wakati nipo A level, ukweli usiopingika mimba ile ilinifanya nikaharibu form 6, palikuwa hapasomeki, shule hapaendeki, mpaka mwl. Wangu wa fizikia ananitafuta baada ya kuona nimekuwa mtoro sana, alinipenda sababu form 5 nilikuwa napasua sana physics, alikuwa ananitegemea, ila baada ya ile mimba shule ikaanza kulegalega(hapo katikati kuna mengi)