kaa chini
JF-Expert Member
- Jun 4, 2022
- 2,163
- 4,583
Nilihudhuria mahafali ya mwanangu wa kwanza akihitimu dalasa saba, sikuwa najua kama ataiba, nilishangaa aliimba wimbo ya Dimond siukumbuki jina ila una matusi, aisee nilijihisi aibu na kusononeka sana maana nyumbani hawatizami hiyo miziki kutokana na imani yetu. Ila aibu sitaisahau mara mamaake akaanza kulia