Watoto wanajua kuabisha wakuu! 🙌 Mzee mwenzenu nimekumbwa na dipresheni

Watoto wanajua kuabisha wakuu! 🙌 Mzee mwenzenu nimekumbwa na dipresheni

Sema siku hizi muziki unalipa Kama uko na talanta kubwa na bidii.
Siyo muziki tu, bali hata ukivua nguo na kujipaka majivu halafu ukaanza kuwatishia watu barabarani huku unajirekodi unatoboa kabisa kimaisha.
 
Usiwaze sana, tunaichapa kistaarabu Bado hatujaanza kuikamia wala kupita rough road
Yeah, lazima damu ikutoke kwa yakribani miaka 12 ukiukalia ule msumari mweusi mnene sana wa ndege mdinya.

Uspime yaani 😎
 
Back
Top Bottom