secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #41
Hakika yaani!Aeleze vizuri tuache kujikoroga mume
Hakika yaani!Aeleze vizuri tuache kujikoroga mume
😎😎😎 Ombi langu limefikia wapi na Mimi nionje hizi sulubu kama za secretarybirdWewe si unataka mtoto🤣
Kwahiyo sio patamu? Mabadiliko tuyaonayo yana maana kubwa sana kwa coming generations ,kwa sasa uwezi kujuaWakuu, hawa watoto wetu sometimes wanajua sana kutuaibisha/ kutuangusha.
Jumatatu iliyopita nilishiriki mahafali ya darasa la Saba ya binti yangu. Mambo yalikwenda tu vizuri mwanzoni, lakini baadaye hali ya hewa ilichafuka kidogo.
Hali ulianza kubadilika pale watoto walipoanza kuonesha vipaji vyao, wa kucheza alicheza, wa kuchora alichora basi ikawa shwari tu!
Aisee! Ukafika muda ambapo mwanafunzi mwenye kipaji Cha kuimba akaitwa, basi akatokea kijana wangu wa darasa la tano, akinyakua kioaza sauti kwa mbwembwe akaanza kuuimba wimbo wa NEY WA MITEGO "PALE KATI PATAMU" kuanzia mwanzo hadi mwisho 😯😯😯
Mzee mwenzenu, kutokana na kutotegemea hili, macho yalinitoka mithili ya Zongibinyo na kujiuliza, iweje mtoto ambaye kutwa akiwa nyumbani hupendelea kuimba tenzi za rohoni aporomoshe bongo flava isiyo na maadili.
Lile tukio lilishusha sana heshima yangu hasa ukizingatia kuwa Mimi ni mzee wa kanisa hapa Kijijini.
Hawa watoto hawa! 😹😹
Ombi lako limekubaliwa, jiandae kisaikolojia kusumbuliwa sana😁😎😎😎 Ombi langu limefikia wapi na Mimi nionje hizi sulubu kama za secretarybird
Pale kati ni PATAMU sana, lakini Mimi kama Mzee wa kanisa nimeaibika sana!Kwahiyo sio patamu? Mabadiliko tuyaonayo yana maana kubwa sana kwa coming generations ,kwa sasa uwezi kujua
Aisee Mimi wala sikubahatika kumsikiliza dogo hadi mwisho, alipoanza tu kupataja 'pale kati' ghafla Mimi nilizimia, nilizinduka jumatano.
I love that!Siwezi kwanza najiamini mwenyewee💃🏽
Basi kama wewe una hiyo ya kumsubiri hadi amalize utakuwa unawaaminsha watu kuwa unaafiki suali hilo.Kwa reply hii nimethibitishabkua uzi wako ni chai, ila kuna funzo ndani yake.
Mimi ningemuacha amalize kisha palepale mbele ya umma ningemwadhibu kwa viboko vikali sana
Mimi baada ya kuzinduka niliambuwa aliimba vizuri. Maana alipofika tu pale kwenye, "pale kati patamu...", mzee mzima nilipoteza fahamu...Lakini si aliimba vizuri?
Ndo Mimi 😎Duh Mzee wa kanisa ?? 😆😆😆
Nimecheka sana
Chukua kozi ya U-Pasta kabisaNdo Mimi 😎
Huyo muhimize asome kwa bidii sana. Asiwe kama hawa wanaoimba bongo flava...Binti yangu wa miaka 16 ndiyo fundi wa electronics na electrical appliances hapo home. Anaharibu na kutengeneza vitu balaa.
Pasi zikizingua anazama kwenye toolbox zangu anamaliza kazi.
Laptop zikizingua anaweka sawa.
Namuuliza umejitunza wapi anasema alikuwa ananiangalia wakati nazi fix zikizingua.
She is a good apprentice.
Chenyewe kinataka kuwa engineer. Kanamaliza form four mwaka huu. Sema kavivu ku-practice hesabu ila kana akili sana. Kanaelewa haraka kakifundishwa hesabu au chochote kile.
Sema siku hizi muziki unalipa Kama uko na talanta kubwa na bidii.Huyo muhimize asome kwa bidii sana. Asiwe kama hawa wanaoimba bongo flava...
Usiwaze sana, tunaichapa kistaarabu Bado hatujaanza kuikamia wala kupita rough roadWakuu, hawa watoto wetu sometimes wanajua sana kutuaibisha/ kutuangusha.