Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani.
Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana.
Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana.
Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?