Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
D.N.A sorry!Jamani kupima D.N.N bei ganai
Itakuwa ni kutafuta matatizo tuD.N.A sorry!
AlitombewaKawaida mkuu katika watoto wote mimi ndo sijafanana na mzee wangu mamaangu aliamua kujipiga copy kuna kipindi mzee Alikuwa anapenda sana kutembea na mimi akikutana na mtu anamjua ananitambulisha kuwa mimi mwanae kilichokuwa kinamshangazi watu wakawa wanamkatalia kuwa mbona hujafananae huyu mtoto kabsa hapo ndo mzee alipokuwa anachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kupotosha watuMtoto lazima afanane na baba yake..nje ya hapo unalea mtoto wa mwanaume mwenzako..no matter utafarijiwa sijui DNA, sijui gene, sijui sura ya Babu...uyo sio mtoto wako!!!
Mtoto kama hafanani na ww basi amefanana na baba yake..kama humjui muulize vizuri mke wako
Bora kama anafanana na upande wa umamani, msala ni pale hafanani na upande wowote..Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani.
Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana.
Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
Inategemea, ila wapo ambao huchukua upande wa mama jumlaUkichunguza kwa umakini lazima tu atakuwa kachukua chochote hata kucha au vidole tu
Hapa ndipo tatizo lilipoBora kama anafanana na upande wa umamani, msala ni pale hafanani na upande wowote..
Mkuu umepigwaUnakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani.
Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana.
Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
Wanaume tunabeba mengi kifuaniHapa ndipo tatizo lilipo
Bado natathmini huu mchakatoMkuu umepigwa
Wanasema uwe na koromeo kubwa 😀 😀Wanaume tunabeba mengi kifuani
Wakambarikie huko alikotafutwa mamayeSi ndio wanakua wamesha mbarikia mkeo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
SHKAAAAOOOOONI wajomba
ww kama umembambikia mume wako watoto acha kutetea ujinga . ukwel lazima uwekwe wazi..sharti mtoto afanane na baba yake!!Acha kupotosha watu
Unakuwa umepigwa mtoto lazima afanane na baba kwa 80%kwa sababu ni damu yako inje ya hapo ni kupigwaWapo ambao hawana ufanano na baba