Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
π π€£ Mimi huwa nasema hili... Hata dunia igeuke juu chini, Mtoto yeyote wa kike au kiume lazima afanane na Baba... Ikiwa tofaut jibu ni jepesi umeibiwa...Kwa namna yeyote Ile "lazima" mtoto awe na ufanano wowote ule na baba yake.
Kwa hiyo za ukubwani, za mama ndio zinakuwa na nguvu zaidi?πππKuna mtu aliniambia shahawa za ukubwani above 30 zinapungua nguvu ya kufananisha mtoto na baba yake
Tofauti na shahawa za ujanani under 30
Nikacheka sana hoja yake
We umefanana na nani?Pole sana, with time machungu yataisha tu!
Yaani hata kucha tu,au macho au pua au mdomo kuna kitu angalau kimoja atafanana na mzaziKwa namna yeyote Ile "lazima" mtoto awe na ufanano wowote ule na baba yake.
Too much probing πππWe umefanana na nani?
Wapo ambao hawana ufanano na babaKwa namna yeyote Ile "lazima" mtoto awe na ufanano wowote ule na baba yake.
Njoo tuzae ata watoto wawili tuSa itakuwaje Mkuu?
Inaweza isiwe na ukweliMama mmoja aliniambia hvi; mwanamke akiwa mjamzito akatumia muda mwingi (kipnd cha ujauzito) kumfikiria mtu flani, basi kuna uwezekano mkubwa mtoto kufanana na mtu huyo (elimu ya mtaani[emoji3])..
Hapo baba anakuwa kwenye wakati mgumu sana, kuhisi ameibiwaKawaida mbona mimi mwenyewe ujambani sana ila kwa baba nimechukua kidogo sana