Watoto wangu wote hufariki baada ya kuzaliwa au mimba kuharibika

Suluhisho lako lipo kwa mganga moto wa radi wa kiburugwa
 
Duuuh!
 
Naona tuna tatizo linalofanana, tofaut Ni kwamba mm sijawah bahatika kuzaliwa mtoto. Yaani mtoto anafia tumboni,zimeshafika 5 (tuseme 4 maana moja ilitolewa kwa makusudi) mpaka sasa kati ya wasichana watatu nilowahi kua nao toka mwaka 2018. Vingine tunavyofanana ni kwamba mi pia nakaribia 30's na wiki ilopita nimekumbwa na hilo tatizo la kinyama kwenye njia ya haja kubwa, linaambatana na maumivu kila baada ya siku 2. Nimekua nikitumia dawa za asili hasa hasa Aloe vela na inanisaidia kiukweli kutuliza maumivu na kuelekea kwenye kupona.

Nirudi kwenye ishu la ujauzito kuharibika, huyu wa mwisho mimba ya nne kwangu ambayo ya kwanza kwake iliharibika ilipokua na miezi 4. Tukakaa miezi 7 akabeba nyingine ilipofika miezi 8 ikaharibika (ilianza kumsumbua toka ina miezi 2). Tulijitahidi kwenda hospital tatizo halikuonekana kwenda kwa mtaalamu ikaonekana anachezewa. Mtaalamu akaifunga ila bahati mbaya ikaja kuharibika ilipofika miezi 8 (Kosa letu nadhani hatukurudi tena kucheck Kama bado wanamchezea hadi ikaharibika tuliona amepona kabisa tatizo).

Turudi nyuma kidogo, kipindi mtaalamu amemaliza kumtibu bibie wakati ujauzito una miezi 2 nilimuomba anicheck na baada ya kunicheck niligundulika pia nimefungwa na nina jini ambalo ndio linaloniharibia mimba zangu na kuniambia nisipojitibia sitokuja pata mtoto na wala sitofanikiwa kimaisha. Sijafanikiwa kujitibia mpaka sasa ILA NDIO NIPO KWENYE MCHAKATO baada ya kuona hii kitu ipo serious sasa maana nimeanza kuugua magonjwa ya kishenz sana ambayo kwa umri wng ni nadra kuugua mfano miguu kuwa na ganzi mwezi sasa.

OP nina maswali kidogo hili tupate kuoanisha kama ni kweli 100% tuna tatizo moja.

1. Hiko kinyama kinauma wakati wa kujisaidia haja kubwa mpaka kufikia mda mwingine kushindwa kutembea?

2. Mimba zinapoharibika au mtoto kufariki huwa mahusiano yenu yanayumba na kuambatana na mafarakano mpaka kufikia kuachana?

3. Hisia za kimapenzi/kufanya ngono zinakupungua?

4. Mambo yako ya kutafuta hela yanayumba?

Majibu ya maswali hayo yatakupa mwanga tatizo limeelemea upande gani.

NB: TATIZO LANGU NI LA KIIMANI ZAIDI SIO HOSPITAL.
 
Kaka tubu[emoji23], huyo jamaa yako atubu
 
Ni matatizo ya vinasaba hayo mkuu nenda hospital na mwenza wako pindi tu anapopata ujauzito.
 
sasa nitasitisha na wangapi mkuu
 
Yeah nimehisi hivyo kwa mwanaume au mwanamke pia akiwa nacho ni shida,kwetu wanaita likango.

Kuna rafiki kazika watoto wawili,alivyogundulika na hilo tatizo wakamkata,,,now yupo na watoto watatu[emoji1545]
ni kweli wanaita hivo na mimi nina kinyama kimetokea mapema mwaka huu ila kuna mzee mmoja alinichek bush moja hivi alisema sio likango la kumaliza watoto ni la kulea watoto au sijui alinipa moyo tu. [emoji1]
 
Jitibie bro

Hiyo ya miguu sio poa,nilipatwa na gonjwa aisee lililoambatana na miguu yaani nilirudi utotoni
 
mkuu hii kitu inaumiza sana ni vile inawakuta watu wchache hawawezi kuelewa,ila namini yote ni mipango ya Mungu wakati sahihi ukifika nitapata watoto wengi zaidi hata ya niliowapoteza
 
ni kweli wanaita hivo na mimi nina kinyama kimetokea mapema mwaka huu ila kuna mzee mmoja alinichek bush moja hivi alisema sio likango la kumaliza watoto ni la kulea watoto au sijui alinipa moyo tu. [emoji1]
[emoji23][emoji23]alikupa moyo tu[emoji23]. huwa wanakata ujue,labda alikuonea huruma,maana waliokatwa wanasema maumivu
 
Tatizo Mimba mnazopeana hazina Baraka pia kheri uone
 
1:mimi kinyama changu hakiumi mkuu kipo kawaida kama kinefifia

2:Mahusiano yangu hayayumbi wala hatugombani kama kuachana tunaachana kwa amani kabisa

3:Biashara zangu zinaenda fresh hazina misukosuko
 
[emoji23][emoji23]alikupa moyo tu[emoji23]. huwa wanakata ujue,labda alikuonea huruma,maana waliokatwa wanasema maumivu
duh hatari,lakini pia nasikia kuna dawa za kienyeji hua wanatumia unawekwa bomba nyuma then unaharisha damu mfululizo kinapasuka unakua fit kama umezaliwa upya ila umpate mtaalam mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…