Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #181
Huyu mwamba madogo wa elfu mbili sidhani kama wanamjua. Madogo wa elfu mbili hawawezi kukuamini ukiwaambia kuna muhuni alikua akitoa hotuba uko kwenye maandaki, USA watu hawatoki nje siku hiyoUnamuacha OSAMA BIN LADEN huyu Hadi picha zake zilikua kwenye saa za kifuniko😂😂😂View attachment 3636949
Mtume Mohamed ni level nyingine mkuu. Wacha tusimsumbue, aendelee kuenjoy mabikra 72.Mkuu kuwa serious basi, Mtume Mohammad unamfananisha na Yesu kweli!!! Huyo Muhammad hata mimi hanikuti
Shetani mbona hayumo !.Namba 1. Yesu
2. Mohammad
3. Hitler
4.Michael Jackson
5. Maradona
Nimejaribu
Huyo ni mbwaMtume Mohamed ni level nyingine mkuu. Wacha tusimsumbue, aendelee kuenjoy mabikra 72.
Huyu hata nchi za Magharibi wasio Waislamu wanamjua vizuri sana, iwe kwa heri au kwa changamoto za kisiasa.Mohamed nitamweka namba Moja
Nimepitia list kadhaa ambazo zipo published. Kwa mawazo yangu mapungufu niliyoyaona list nyingi zinatoa kipaumbele kwa wanasayansi, wanafalsafa na watawala/wanasiasa. Lakini ukija kwenye uhalisia unakuta hao watu kuwajua ni mpka uwe mfuatiliaji wa mambo waliyoyafanya.Mbona List yako haina Mwanamke hata mmoja Mkuu?
Hivi inawezekana kweli katika historia yote ya mwanadamu tangu dunia iumbwe, hakuna mwanamke hata mmoja aliyefikia vigezo vyako vya umaarufu?
Na atazidi kuwa maarufu kwa sababu ya tabia za mataifa ya kiarabu pale mashariki ya kati.Huyu hata nchi za Magharibi wasio Waislamu wanamjua vizuri sana, iwe kwa heri au kwa changamoto za kisiasa.
Kuna kitabu maarufu duniani cha mwanahistoria Michael H. Hart kinachoitwa "The 100: A Ranking of the Most Influential Persons in History." Kwenye kile kitabu, Michael Hart ambaye ni Mkristo mzungu alimweka Mtume Muhammad kuwa Mtu Namba Moja mwenye ushawishi mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, akimzidi hata Yesu na Isaac Newton. Sababu ni kuwa yeye alifanikiwa kwa 100% kidini na kisiasa kwa wakati mmoja.
Bikira mariaMbona List yako haina Mwanamke hata mmoja Mkuu?
Hivi inawezekana kweli katika historia yote ya mwanadamu tangu dunia iumbwe, hakuna mwanamke hata mmoja aliyefikia vigezo vyako vya umaarufu?
Hapa linaibuka suala jingine mkuu. Unajua umaarufu(popularity) na ushawishi(influence) ni vitu tofauti. Mimi nimebase kwe ye umaarufu maana tukisema ushawishi hata adolf hitler inabidi tumtoe hapo.Huyu hata nchi za Magharibi wasio Waislamu wanamjua vizuri sana, iwe kwa heri au kwa changamoto za kisiasa.
Kuna kitabu maarufu duniani cha mwanahistoria Michael H. Hart kinachoitwa "The 100: A Ranking of the Most Influential Persons in History." Kwenye kile kitabu, Michael Hart ambaye ni Mkristo mzungu alimweka Mtume Muhammad kuwa Mtu Namba Moja mwenye ushawishi mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, akimzidi hata Yesu na Isaac Newton. Sababu ni kuwa yeye alifanikiwa kwa 100% kidini na kisiasa kwa wakati mmoja.
Nimekuelewa mkuu, kuna Mwanamke mmoja tu duniani ambaye ana sifa zote za kuingia hiyo Top 10 na hapingiki hata kwa mtoto wa chekechea, si mwingine bali ni BIKIRA MARIA, huyu mama ndio mwanamke maarufu zaidi kuwahi kukanyaga ardhi hii ya dunia, na hakuna mwanamke mwingine anayesogea hata robo ya umaarufu wake. Ukimweka kwenye vile vigezo vyako vya watoto, vijana na wazee, anafuzu kwa asilimia 100, ukiangalia kwa upande wa watoto iwe ni wakristo au waislamu wengi wanamjua huyu mama. Kila inapofika msimu wa Krismasi, watoto huwa wana michezo yao ya kuigiza ya kuzaliwa kwa Yesu, kwahiyo watoto wengi sana huwa wanaona picha zake kwenye makanisa, na hata kwenye katuni za kidini.Nimepitia list kadhaa ambazo zipo published. Kwa mawazo yangu mapungufu niliyoyaona list nyingi zinatoa kipaumbele kwa wanasayansi, wanafalsafa na watawala/wanasiasa. Lakini ukija kwenye uhalisia unakuta hao watu kuwajua ni mpka uwe mfuatiliaji wa mambo waliyoyafanya.
Lakimi kuna watu hata kama haufatilii wanayoyafanya taarifa zao zitakufikia tu. Ndicvo hicho kitu nilikipa uzito zaidi
Kwahiyo nikaongezea na kigezo changu kimoja. Tukiwatenga makundi ya watoto, watu wazima na wazee muhusika awe popular kote. Maana mtu kama Albert Eistein tunaojua sayansi hata juu juu tu tutamjua lakini tukikusanya kundi la madogo darasa la 1-5 wangapi watakua wanamjua?
Mkuu kwa kigezo changu cha mtu kuwa popular miongoni mwa watoto, vijana na wazee. Unafikiri ni mwanamke gani anaweza kuingia top 10 ya watu maarufu zaidi duniani?
Huyu sio frictional character?Bikira maria
Sio kweli, Mohamad hakua mfuasi wa YesuHao watu uliowataja hapo juu ni wafuas wa YESU KRISTO
Mkuu uko sawa kabisa kusema hivi lakini ukiangalia kiuhalisia, Mtume Muhammad anavuka kabisa hicho kigezo cha umaarufu kwa urahisi sana kuliko hata Ronaldo au Messi.Hapa linaibuka suala jingine mkuu. Unajua umaarufu(popularity) na ushawishi(influence) ni vitu tofauti. Mimi nimebase kwe ye umaarufu maana tukisema ushawishi hata adolf hitler inabidi tumtoe hapo.
Mohamad ana ushawishi maana ame-influence maisha ya watu bilion 2+. Lakini ukiongelea umaarufu sina uhakika kama anatambulika kwenye kila jamii na kila rika. Uende kwenye jamii za wafugaji au kundi la watoto wadogo ukute wanamjua Mohamad sio rahisi
Bikira Maria sio frictional character?Nimekuelewa mkuu, kuna Mwanamke mmoja tu duniani ambaye ana sifa zote za kuingia hiyo Top 10 na hapingiki hata kwa mtoto wa chekechea, si mwingine bali ni BIKIRA MARIA, huyu mama ndio mwanamke maarufu zaidi kuwahi kukanyaga ardhi hii ya dunia, na hakuna mwanamke mwingine anayesogea hata robo ya umaarufu wake. Ukimweka kwenye vile vigezo vyako vya watoto, vijana na wazee, anafuzu kwa asilimia 100, ukiangalia kwa upande wa watoto iwe ni wakristo au waislamu wengi wanamjua huyu mama. Kila inapofika msimu wa Krismasi, watoto huwa wana michezo yao ya kuigiza ya kuzaliwa kwa Yesu, kwahiyo watoto wengi sana huwa wanaona picha zake kwenye makanisa, na hata kwenye katuni za kidini.