Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Vipi maeneo ya Mkundi, nilitaka kununua kiwanja hukoMvua imenyeesha ya kutosha na kuleta mafuriko Kihonda na hii inachangiwa na ujenzi holela wa reli ya mwendokasiView attachment 2479033View attachment 2479034
Ndiyo MkuuHapo Kingwolira ndio karibu na Cate Hotels?
Aisee ndio nilitaka kununua kiwanja hapo juzi, kumbe hapafaiNdiyo Mkuu
Kweli kabsa,maji yote yanapita sehemu Moja .Huna akili
Eneo Ambalo World Bank Wamejenga Barabara 2 Hakuna Shida Kuko Juu Ila Huku Chini Mbona Kunaonekana BondeniAisee ndio nilitaka kununua kiwanja hapo juzi, kumbe hapafai
Tutajenga bwawa lingine na huko...Haya yanaenda ngerengere kisha ruvu
Ahaa, maana hata mimi sipajui niliona tangazo mtandaoni nikavutiwa naloEneo Ambalo World Bank Wamejenga Barabara 2 Hakuna Shida Kuko Juu Ila Huku Chini Mbona Kunaonekana Bondeni
Sokoni Real EstateAhaa, maana hata mimi sipajui niliona tangazo mtandaoni nikavutiwa nalo
Ok, mkuu asanteSokoni Real Estate
Vipo Nyuma Kiwanda Cha Tumbaku Alliance One
Sasa jamani Mvua zikiwa nyingi hivyo, February Ma-rope si atakosa sababu za kusingizia kwa nini umeme unakatika?Huu mwaka; mvua zitakuwa nyingi..
Not sure!, uzoefu mvua za morogoro husababisha maji ya kimyakimya dar!
Mkundi sheli napo ni balaa mkuu ila funga kazi ni hayo maeneo hapo juu.Vipi maeneo ya Mkundi?
Si umetoa Rai 'yaachwe yaende bwawani'.. ndiyo maana nikauliza yamezuiwaNani kasema yanazuiwa?