Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

Poleni mno ila wananchi nanyi fanyeni push back kuwafanya wahusika kuwajibika, lini drainage systems zilifanyiwa ukarabati?,na elimu itolewe kwa wakazi kuwa drainage systems sio dampo za kutupia uchafu, sasa zimeziba na maji hayana escaping route
 
Na mjini kati yatakuwa yamefurika, Abood hakuna anachofanya Moro zaidi ya kutoa mabus ya kubeba wafiwa kwenda kuzika ndugu zao BURE
 
Na mjini kati yatakuwa yamefurika , Abood hakuna anachofanya moro zaidi ya kutoa mabus ya kubeba wafiwa kwenda kuzika ndugu zao BURE
Wakazi kama hakuna push back 🔙, kuna uwezekano yakatokea tena, ni muhimu wahusika wawajibike pamoja na wakazi wao, wewe raia acha kutupa uchafu kwenye drainage systems na wahusika ni muhimu wasafishe mitaro na tusijenge kiholela na kuzuia njia za maji kupita
 
Ndo umasikini unavyokuja hivyo kama utani.

Kuna Mzee wangu mmoja mstaafu kaweka kama nusu ya pension yake kwenye kilimo cha mpunga huko Moro.

Sasa hii hali sijui kama athari zitaishia mjini tu.
 
Mafuriko yanatokea pale maji yanapozidi uwezo wa eneo husika kuyashikilia. Hata miundombinu iwe bora vipi, yakizidi kipimo hakuna namna ya kuyazuia.
 
Poleni mno ila wananchi nanyi fanyeni push back kuwafanya wahusika kuwajibika, lini drainage systems zilifanyiwa ukarabati?,na elimu itolewe kwa wakazi kuwa drainage systems sio dampo za kutupia uchafu, sasa zimeziba na maji hayana escaping route
Push back ndio inafanywaje hio?
 
Chadema walitangaza mvua hazitanyesha kwa sababu Magufuli amekata miti millioni 3
 
Baadhi ya sehemu imeanza kunyesha saa 9:26 inaendelea mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…