Poleni mno ila wananchi nanyi fanyeni push back kuwafanya wahusika kuwajibika, lini drainage systems zilifanyiwa ukarabati?,na elimu itolewe kwa wakazi kuwa drainage systems sio dampo za kutupia uchafu, sasa zimeziba na maji hayana escaping route
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yanamwagikia bonde la Rufiji, hii ni habari njema sana, tena inyeshe kama enzi za safinaPoleni sana hayo maji yatajaza bwawa la umeme .
Na mjini kati yatakuwa yamefurika, Abood hakuna anachofanya Moro zaidi ya kutoa mabus ya kubeba wafiwa kwenda kuzika ndugu zao BUREPoleni mno ila wananchi nanyi fanyeni push back kuwafanya wahusika kuwajibika, lini drainage systems zilifanyiwa ukarabati?,na elimu itolewe kwa wakazi kuwa drainage systems sio dampo za kutupia uchafu, sasa zimeziba na maji hayana escaping route
Wakazi kama hakuna push back 🔙, kuna uwezekano yakatokea tena, ni muhimu wahusika wawajibike pamoja na wakazi wao, wewe raia acha kutupa uchafu kwenye drainage systems na wahusika ni muhimu wasafishe mitaro na tusijenge kiholela na kuzuia njia za maji kupitaNa mjini kati yatakuwa yamefurika , Abood hakuna anachofanya moro zaidi ya kutoa mabus ya kubeba wafiwa kwenda kuzika ndugu zao BURE
Mama anaupiga mwingi sana mkuuKama yanamwagikia bonde la Rufiji, hii ni habari njema sana, tena inyeshe kama enzi za safina
Mafuriko yanatokea pale maji yanapozidi uwezo wa eneo husika kuyashikilia. Hata miundombinu iwe bora vipi, yakizidi kipimo hakuna namna ya kuyazuia.Wakazi kama hakuna push back [emoji774], kuna uwezekano yakatokea tena, ni muhimu wahusika wawajibike pamoja na wakazi wao, wewe raia acha kutupa uchafu kwenye drainage systems na wahusika ni muhimu wasafishe mitaro na tusijenge kiholela na kuzuia njia za maji kupita
Tena waliponda kwerikweriKuna wapuuzi humu walikuwa wanabeza utabiri wa TMA.
Tena ipige mvua kubwa mara 4 ya hapo, bwawa lijaeKama yanamwagikia bonde la Rufiji, hii ni habari njema sana, tena inyeshe kama enzi za safina
Push back ndio inafanywaje hio?Poleni mno ila wananchi nanyi fanyeni push back kuwafanya wahusika kuwajibika, lini drainage systems zilifanyiwa ukarabati?,na elimu itolewe kwa wakazi kuwa drainage systems sio dampo za kutupia uchafu, sasa zimeziba na maji hayana escaping route
Endelea kusubiri wengine wakupiganie, baki humu humu JF!Push back ndio inafanywaje hio?
Chadema walitangaza mvua hazitanyesha kwa sababu Magufuli amekata miti millioni 3Aisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea.
Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao.
Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu, mvua inapiga kwa sifa kama haitopiga tena. Aisee ni balaa!
Motivational speakers bana.Endelea kusubiri wengine wakupiganie, baki humu humu JF!
Baadhi ya sehemu imeanza kunyesha saa 9:26 inaendelea mpaka sasaAisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea.
Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao.
Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu, mvua inapiga kwa sifa kama haitopiga tena. Aisee ni balaa!
Kati ya tabiri 10 za TMA, 1 ndio inakuwa ya kweliKuna wapuuzi humu walikuwa wanabeza utabiri wa TMA.