Fair enough, tujadili kwa facts mafuriko haya ya Morogoro, kwanza tupate kiwango cha mvua iliyonyesha,pili tuangalie hili jiji Lina drainage systems inayofanya kazi? Wakazi hawajajenga kwenye njia asili za maji kupita? Ule mfereji mkuu unaopita Morogoro umesafishwa? Wakazi wana uelewa wa kutotupa uchafu kwenye mifereji na chemba?Je jiji lilishajiandaa kukabiliana na mvua? Tuyajadili haya ili tuone mafuriko haya tungeweza ku limit athari zake au laMafuriko yanatokea pale maji yanapozidi uwezo wa eneo husika kuyashikilia. Hata miundombinu iwe bora vipi, yakizidi kipimo hakuna namna ya kuyazuia.