Fair enough, tujadili kwa facts mafuriko haya ya Morogoro, kwanza tupate kiwango cha mvua iliyonyesha,pili tuangalie hili jiji Lina drainage systems inayofanya kazi? Wakazi hawajajenga kwenye njia asili za maji kupita? Ule mfereji mkuu unaopita Morogoro umesafishwa? Wakazi wana uelewa wa kutotupa uchafu kwenye mifereji na chemba?Je jiji lilishajiandaa kukabiliana na mvua? Tuyajadili haya ili tuone mafuriko haya tungeweza ku limit athari zake au laMafuriko yanatokea pale maji yanapozidi uwezo wa eneo husika kuyashikilia. Hata miundombinu iwe bora vipi, yakizidi kipimo hakuna namna ya kuyazuia.
TMA wenyewe wamebashiri mvua saa 2 usiku 7hrs later mvua zimeanza kupiga🤣Kuna wapuuzi humu walikuwa wanabeza utabiri wa TMA.
Hivi huyu m/mungu tena wa herufi ndogo na Mungu ndio huyu mmojaMhh
M/mungu awasaidie
Tusubiri kusikia kuibuka kwa Majaliwa wengine MorogoroPoleni sana vitengo vya dharura na uokozi vikae tayari kwa lolote! Huu sio wakati wa kwenda kazini kwa mazoea
Yanakwenda kwa shamba la myuwa BagamoyoPoleni sana hayo maji yatajaza bwawa la umeme .
Sishangai kupata mchango wa hoja wa namna hii, kabla ya kuwafanya wahusika wawajibike wewe unaleta politics, jiji la Morogoro linakuwa ila muundo mbinu wake uko vile vile na wewe unaona it's okay, drainage systems ingekuwa inafanya kazi, mafuriko haya yangekuwa na athari ndogo, hapa Dar mafuriko ya mto Jangwani yanasababishwa na watu walio selfish waliojenga yake mahekalu pale mikokoni, maana wamezuia njia ya asili ya maji, tuna zamisha vichwa vyetu mchangani na kujifanya hatuoni na matokeo yake tunapigana na walala hoi walio na vibanda kigogo na kinondoni Moscow, mapapa kule mikokoni tunawaogopaMotivational speakers bana.
Umejuaje mkuu? Tupo hapa tumezingirwa usiku mzima.Wale wakazi wa kihonda mitaa ya pembeni na mwendokasi Darajani pale kwenda Azimio sahz wamelowa.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Vyote muhimuHivi muhimu ni habari au ni picha?
Hahaha we jamaa Chadema sijui walikufanya nini[emoji23][emoji23]Chadema walitangaza mvua hazitanyesha kwa sababu Magufuli amekata miti millioni 3
Sorry kaka hivi Morogoro nalo limekuwa jiji kwa sasa? Toka lini?Sishangai kupata mchango wa hoja wa namna hii, kabla ya kuwafanya wahusika wawajibike wewe unaleta politics, jiji la Morogoro linakua ila muundo mbinu wake uko vile vile na wewe unaona it's okay, drainage systems ingekua inafanya kazi ,mafuriko haya yangekua na athari ndogo, hapa Dar mafuriko ya mto jangwani yanasababishwa na watu walio selfish waliojenga yake mahekalu pale mikokoni, maana wamezuia njia ya asili ya maji, tuna zamisha vichwa vyetu mchangani na kujifanya hatuoni na matokeo yake tunapigana na walala hoi walio na vibanda kigogo na kinondoni Moscow, mapapa kule mikokoni tunawaogopa
Tatizo una maneno mengi, nimekuuliza Push back inafanywaje? Unaanza kujibu utumbo utumbo.Sishangai kupata mchango wa hoja wa namna hii, kabla ya kuwafanya wahusika wawajibike wewe unaleta politics, jiji la Morogoro linakua ila muundo mbinu wake uko vile vile na wewe unaona it's okay, drainage systems ingekua inafanya kazi ,mafuriko haya yangekua na athari ndogo, hapa Dar mafuriko ya mto jangwani yanasababishwa na watu walio selfish waliojenga yake mahekalu pale mikokoni, maana wamezuia njia ya asili ya maji, tuna zamisha vichwa vyetu mchangani na kujifanya hatuoni na matokeo yake tunapigana na walala hoi walio na vibanda kigogo na kinondoni Moscow, mapapa kule mikokoni tunawaogopa
Wacheni inyeshe, wacheni inyesheAisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea.
Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao.
Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu, mvua inapiga kwa sifa kama haitopiga tena. Aisee ni balaa!
Tuwaombee serikali ya CCM iwaokoe haraka, kamati kuu ya halmashauri kuu iruke na chopa. Tutaimba mbele kwa mbele . Mvua itupe akili ya kuwapa CCM kiburi endelevuAisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea.
Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao.
Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu, mvua inapiga kwa sifa kama haitopiga tena. Aisee ni balaa!
Nini tofauti kati ya ‘Escape route’ na ‘Escaping route’?Poleni mno ila wananchi nanyi fanyeni push back kuwafanya wahusika kuwajibika, lini drainage systems zilifanyiwa ukarabati?,na elimu itolewe kwa wakazi kuwa drainage systems sio dampo za kutupia uchafu, sasa zimeziba na maji hayana escaping route