Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hela imeleta matatizo
Pia hela imetatua matatizo..
Pia hela imetatua matatizo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa nilivyowaona watekaji, wanaonekana wakishua,Polisi wamekosea sana!
.
Hao ilitakiwa wawahoji huko huko chimbo walikokutwa, baada ya mahojiano wanamchukua, bint wale jamaa wanakula vyuma vya kichwa kila mmoja kisha wanakuja mbele ya kamera wanasema tumeua majambazi yaliyomteka binti maana yalianza kuturushia risasi basi.
Habari ya upelelezi na mavi mengine yanayofanana na hayo ni kupoteza rasimali za taifa.
Aisee hilo linawezekanaInaonekana watekaji ni wakishua pia, washaomba plea bargain soon utawaona wapo mtaani
Basi mkuu nmeshaelewa,Mkuu kwa nilivyowaona watekaji, wanaonekana wakishua,
Wangekuwa wa kimaskini taarifa ingesema waliopotelewa na ndugu wafike Muhimbili kutambua maiti za makambazi yaliomteka binti,
Na kujibizana kwa risasi na Polisi,
Matajiri na watoto wao hawafungwi,
Rejea, waliotoboa bomba la mafuta Kigamboni, Kesi yao uliisikia Mahakana gani?
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Huyo ni raia wa Canada si kwa kuzaliwa bali kwa kujiandikisha kama mkimbizi. Kwa kuzaliwa yeye ni Msomali. Kwa muda mrefu raia wengi wa Somalia wameikimbia nchi yao na kuwa wakimbizi katika nchi nyingi hapa Duniani.Raia wa Canada anateka mtu katika Developing country na kudai pesa.
Ama kweli yajayo yanafurahisha.
Nakuaminia mwananguHii gari na huyu dada nishamuonaga sna mitaa fulani ya masaki,ngoja nikija mjini ntapitia kwenye kijiwe changu mitaa ya huko ntapata a,b,c zote
Ova
Pia kuna jamaa anamiliki maroli alimuaa dereva wake kwa kumpiga risasi, hakujawahi kuwa na kesi ingawa jamaa alikamatwa na polisi, saivi jamaa anaishi canadaMkuu kwa nilivyowaona watekaji, wanaonekana wakishua,
Wangekuwa wa kimaskini taarifa ingesema waliopotelewa na ndugu wafike Muhimbili kutambua maiti za makambazi yaliomteka binti,
Na kujibizana kwa risasi na Polisi,
Matajiri na watoto wao hawafungwi,
Rejea, waliotoboa bomba la mafuta Kigamboni, Kesi yao uliisikia Mahakana gani?
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Na wale wanaolawiti watoto makanisani wana majina kama ya hao watekaji?.Koouuma weweHuyo kaomba uraia tu hana jipya. Alafu zingatia jina utaelewa shida ipo wapi
Tutafutie na kapicha kake Mkuu.Hii gari na huyu dada nishamuonaga sna mitaa fulani ya masaki,ngoja nikija mjini ntapitia kwenye kijiwe changu mitaa ya huko ntapata a,b,c zote
Ova
Kwani ulawiti upo makanisani tu? Ulawiti ni swala la mtu na mtu kalelewaje kakuzwaje na nini kapitia maishani. Nimepokea neno lako ila nikuambie tu koouuma la mama yako linavuja usaha😁Na wale wanaolawiti watoto makanisani wana majina kama ya hao watekaji?.Koouuma wewe
Mikooouuundouw kama nyie hii ndo dawa yenu.Yani mukiona majina ya kiislam lazima mponde bila kujua kwamba tabia ya mtu haihusiani na dini yake.Unafeeirwa weweKwani ulawiti upo makanisani tu? Ulawiti ni swala la mtu na mtu kalelewaje kakuzwaje na nini kapitia maishani. Nimepokea neno lako ila nikuambie tu koouuma la mama yako linavuja usaha😁
bora uwe tajiri mwenye shidaUwe tajiri ni shida uwe maskini ni shida, bora kuwa nani?
Na mama yako piaMikooouuundouw kama nyie hii ndo dawa yenu.Yani mukiona majina ya kiislam lazima mponde bila kujua kwamba tabia ya mtu haihusiani na dini yake.Unafeeirwa wewe
Who was a movie director?Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa saba kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadaye kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani Hussein (29) Mkazi wa Masaki, Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashilia watuhumiwa saba kwa madai ya kupanga njama, kumtishia kwa silaha na kumteka mwanamke aaliyefahamika kwa jina la Hani Hussein (29), mkazi wa Masaki.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari, Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro leo Oktoba 30, 2023 amesema tukio la kumteka binti huyo lilitokea Oktoba 16, 2023.
“Tukio hili limetokea Oktoba 16, 2023 saa nne asubuhi wakati Hani Hussein akiwa anaendesha gari lake aina ya Toyota Rav4, ghafla akiwa eneo la Msasani Village alisimamishwa na sehemu ya kundi la watuhumiwa hao na kuingia ndani ya gari, kumtishia kwa silaha, kumteka na kuelekea maeneo ya Mbezi Beach mtaa wa ujirani ambako walimshikilia kwa nguvu kwa siku nne huku wakidai fedha kwa vitisho kwa baba wa mtekwaji kuwa asipotoa kiasi cha Dola za Marekani 3.5 milioni mtoto wake angepoteza maisha.
"Baada ya kupata taarifa ya tukio hilo, Jeshi la Polisi lilianza ufuatiliaji wa na Oktoba 19 tulifanikiwa kumuokoa na kuwakamata watekaji wote wakiwa na gari walilomteka, pamoja na silaha ilyotumika Pistol Glock 19 iliyotengenezwa Austria ikiwa na risasi 4," amesema Kamanda Muliro.
Amewataja watuhumiwa waliokamatwa kuwa ni Hassan AbusherNur (39) raia wa Canada mwenye asili ya Somalia na mkazi wa Msasani, Nathan Lungumisa (27), Fredick Chahonza (49), Assad Abdurasur (43), Fahad Mussa (32), Ilfan Saleh (41) na Nicolas Nilay (39).
Aidha ameeleza kuwa tayari upelelezi na watuhumiwa wote watafikishwa Mahakama ya Kisutu kwa hatua zaidi za kisheria.
MWANANCHI